Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,766
- 218,388
karibu ofisini kesho mkuuZile Prado zile , viyoyozi na title wee acha tu, jamaa akatoa clip ya kujitetea usiku usiku.
karibu ofisini kesho mkuuZile Prado zile , viyoyozi na title wee acha tu, jamaa akatoa clip ya kujitetea usiku usiku.
Sio kweli kuna makabila hayana ukoo,kama wahaya
iphone XS
Kwamfano tangu akiwa shule ya awali na msingi miaka ya 90s ,alisajiliwa hivyo ,unataka abadilushe majina Leo mengine ili hali vitambulisho vyake vina hayo majina!????Ukishasikia Mtanzania ana majina yote mawili ya Kizungu yaani la kupewa na la Ukoo yote ya Kizungu ujue huyo mtu ni fraud, eti Mtanzania anaitwa Boniface Jakob WTF? Hana ukoo? Ukoo wake unaitwa Jakob? Babu yake hana jina? Ina maana kabla ya kuja Muzungu ukoo wake haukuwepo?
Kiki ya CHADEMA imshirikishe Mkurugenzi? 😂 😂 😂Au tuseme ni kiki yao chadema?
Hilo ni ndani ya chademaKitakachotokea ni kwamba Kamati Kuu ya CHADEMA itazuiliwa kufanya kikao kutengua maamuzi hayo. Mbio mbio za kupeleka hiyo barua ya kumfukuza uanachama Boniface kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo zinatokana na nini?