Meya wa Ubungo, Boniface Jacob adaiwa kufukuzwa uanachama CHADEMA. Aandikiwa barua ya kuvuliwa umeya... Yeye aongea

Kiukweli inaonekana huu mpango ulisukwa naye kahusishwa.Vinginevyo Ni kukosa umakini Wa hali ya juu huyu mkurugenzi, huwezi Fanya maamuzi kama hayo bila kujiridhisha kamwe, je mkurugenzi kwa hill hawezi akaisababisha serikali kupoteza fedha au rasilimali zake kizembe? Je haiwezi tokea Siku akasaini Hundi ya mamilion kutoka kwenye akaunti za halmashauri bila kujiridhisha? Kwa maoni yangu serikali inapaswa kumchukulia hatua Mara moja.Pia takukuru ilipaswa kuingia kazini.pia waandishi Wa habari wanapaswa kumuuliza kwa kina juu ya hili.
Swali, mkurugenzi alitokea wapi weekend hadi akaandika barua akasaini?
 
Hivi mkurugenzi alijiridhisha kabla ya kufanya maamuzi? Maana swala LA kufukuzwa MTU uwanachama sio siri Bali hutangazwa kwenye vyombo vya habari, mbona hatujasikia?
Majibu ya Mayor Boniface
Screenshot_20200503_093653_com.instagram.android.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Meya ni wa chadema kafukuzwa na chadema barua imeandikwa na viongozi wa chadema unaposema ni hila za CCM napata ukakasi na fikra zako kama unawaza kwa kutumia kichwa
Nashukuru kwa kuzaliwa Jana. Njaa ya CCM na umeya imeanza mbali hata taahira anafahamu hilo. Tumeona Iringa,Tanga, Dar Hata Mbeya na Arusha ila huko hesabu zimegoma.
Mchakato wa kumvua uanachama mtu mwenye hadhi ya umeya si mdogo hata kwenye jumuiya ya wapumbavu. Makao makuu lazima yalipaswa kujua mchakato huo kabla ya kufikishwa kwa mkurugenzi
 
Asante kwa kuzaliwa leo hizo zote ulizoandika ni porojo, Kama huko kote ulipotaja wameweza kwa maaelezo yako sasa kipi kimewashinda hapo kwa Jacob? Au tuseme ni kiki yao chadema?
 
Kwa maoni yangu serikali inapaswa kumchukulia hatua Mara moja.Pia takukuru ilipaswa kuingia kazini.pia waandishi Wa habari wanapaswa kumuuliza kwa kina juu ya hili.
LIMBOMAMBOMA
Inanibidi niendelee kuuliza swali; ni serikali ipi ichukue hatua? kila ninapokutana na maneno kama haya uliyoandika hapa mkuu, na sio wewe tu unayeyatumia haya maneno kuendelea kuonyesha kuwa na imani juu ya serikali ifanye mambo kinyume cha matakwa yake!
 
Asante kwa kuzaliwa leo hizo zote ulizoandika ni porojo, Kama huko kote ulipotaja wameweza kwa maaelezo yako sasa kipi kimewashinda hapo kwa Jacob? Au tuseme ni kiki yao chadema?
Mahaba mtu kwa CCM yamekupofua. Dar meya kalazimishwa kutoka pia Iringa achilia mbali waliofika bei wa Arusha, Ilala na Mbeya. Utokaji wao inakuwa big deal kwa viongozi wa sasa wa CCM. Swali kuna nini na huu umeya wa mwishoni.
Bado naomba chadema waziri kuwa wavumilivu dhidi ya uchokozi wowote. Maana uchokozi mwingine ni wa chini ya mkanda
 
Asante kwa kuzaliwa leo hizo zote ulizoandika ni porojo, Kama huko kote ulipotaja wameweza kwa maaelezo yako sasa kipi kimewashinda hapo kwa Jacob? Au tuseme ni kiki yao chadema?
Siwezi sema kiki ya chadema kwani uamuzi huo hauwpi faida yoyote. Labda wewe unaijua.
Kulingana na trend ya uchu wa umeya kwa wanaccm. Naamini kuna mkono wao katika hili
 
Ukishasikia Mtanzania ana majina yote mawili ya Kizungu yaani la kupewa na la Ukoo yote ya Kizungu ujue huyo mtu ni fraud, eti Mtanzania anaitwa Boniface Jakob WTF? Hana ukoo? Ukoo wake unaitwa Jakob? Babu yake hana jina? Ina maana kabla ya kuja Muzungu ukoo wake haukuwepo?
 
Ukishasikia Mtanzania ana majina yote mawili ya Kizungu yaani la kupewa na la Ukoo yote ya Kizungu ujue huyo mtu ni fraud, eti Mtanzania anaitwa Boniface Jakob WTF? Hana ukoo? Babu yake hana jina? Ina kabla ya Kuba Muzungu ukoo wake haukuwepo?

Huyo ni criminal through and through!
wasi wasi wako nini ? Vipi mtu akiitwa ubini wa Makonda huku ukoo wao ni Bashite hiyo unaionaje ?
 
Back
Top Bottom