Meya wa Ubungo, Boniface Jacob adaiwa kufukuzwa uanachama CHADEMA. Aandikiwa barua ya kuvuliwa umeya... Yeye aongea

Ukishasikia Mtanzania ana majina yote mawili ya Kizungu yaani la kupewa na la Ukoo yote ya Kizungu ujue huyo mtu ni fraud, eti Mtanzania anaitwa Boniface Jakob WTF? Hana ukoo? Ukoo wake unaitwa Jakob? Babu yake hana jina? Ina maana kabla ya kuja Muzungu ukoo wake haukuwepo?
Kwamfano tangu akiwa shule ya awali na msingi miaka ya 90s ,alisajiliwa hivyo ,unataka abadilushe majina Leo mengine ili hali vitambulisho vyake vina hayo majina!????

Hoja yako dhaifu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitakachotokea ni kwamba Kamati Kuu ya CHADEMA itazuiliwa kufanya kikao kutengua maamuzi hayo. Mbio mbio za kupeleka hiyo barua ya kumfukuza uanachama Boniface kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo zinatokana na nini?
Hilo ni ndani ya chadema
Mkurugenzi yeye anasimama na barua iliotoka chadema
Huyo savimbi leo ataingia kwa uber na kukuta ofisi imefungwa kama yule meya wa jiji
Ndio hasara ya kuchagua vyama vya kihuni
Kwetu ccm,ukishakua meya ni kamati kuu ndio itashughulika na vimeo vyako
Inawezekana siku moja tukasikia mbowe kavuliwa uanachama na tawi lake huko nronga,machame,katibu wa tawi akipeleka barua bungeni,Mugabe chali!
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom