Michael Paul
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 403
- 319
Ilikuwa ni kanisani baada ya mchungaji kumkaribisha kama mgeni rasimi kwamba wananchi wamshike mkono , ndipo watu wote wakatoka kanisani na kumuacha mwenyewe. Ilikuwa ni fundrising event katika kanisa la kkkt elerai.[/QU
Duh balaa kubwa na fundrising najua iliishia hapo hapo
Jamani hadi kanisani wanakisusia chama cha magamba,mwaka huu kazi wanayo maana kila sehemu hawakubaliki.Poleni sana wapenzi na wanachama wa chama cha magamba.
Wewe punguza muknari mkuu, yaani unamananisha mkikutana peke yenu mnaweza kuzichapa kavu kavu, tehe tehe tehe tehe. Aisee pa moja hapaingii mbili.aise yaani huyu jamaa hana bahati maana mimi nikimuona maeneo kama ya elerai lazima atoke na ngeu..
nape ningekuwa na private email yako ningeforward hii kitu kwako
Mchungaji Haule naye alianzia wapi kumwalika huyu mtu mwenye Nuksi namna hii?