miss confidence
JF-Expert Member
- Jul 9, 2016
- 393
- 273
Aiseee huyo Daud nao anahali mbaya sidhani kama anakula anashiba kabisa hahahahaaaaa kusoma raha qweli
Kulikuwa na haja gani kuverify vyeti na kufukuza watu kumbe wapo watu wenye vyeti feki wamekaa offisini???? basi wote warudishwe kazini tuanze mojaKihiyo alipiga kampeni kuwa amesoma DIT wakati si kweli, alivuliwa ubunge kwa kudanganya umma katika kampeni zake. Makonda kateuliwa na Rais, jambo la kufanya ni kufahamu kama rais alimteua kwa sifa za ulaghai au alimteua kwa vile anavyochapa kazi kama yeye. Maana humu kuna waumini wa 'ku deliver' na cheti ni karatasi! Tukifahamu kuhusu rais alimteuaje hapo labda, lakini utawala wa sheria hauturuhusu kuhoji uteuzi wowote wa Mh Rais na ukuu wa mkoa hauna sifa zaidi ya kujua kusoma na kuandika na utanzania
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari sana hiiHuu Uzi kupita bila kuchangia ni DHAMBI..
Wacha ni seme "BASHITE......."
Kaka tunataka vyeti period, tena originalha ha ha!
baada ya madawa??
Ingeniingia akilini kama bwana Paul Mayenga angeonekana hapa
Hata kama utumishi wa umma unaruhusu kuajiri vilaza ila Boss wako ni muhalifu achukuliwe sheria ndipo aludi kuwa Mungu!Hapo ndipo unapokosea, mimi simzungumzii Makonda, nazungumzia uelewa wako! Siamini kama hufahamu utumishi wa umma ukoje. Kama ungefahamu labda ungesema kingine na si hicho ulichoki komenti kuhusu utumishi wa umma na vyeti kumuhusu Makonda aka Bashite
Ndugu zangu bakizeni Maneno Jaman, huyu ndugu naye ni mwanandamu, muoneeni huruma. Imetosha sasa!
Hata kama utumishi wa umma unaruhusu kuajiri vilaza ila Boss wako ni muhalifu achukuliwe sheria ndipo aludi kuwa Mungu!
Anza kuomba cha Mbowe, mwenyekiti wako.Kaka tunataka vyeti period, tena original
tunataka cheti tu cha bashiteAnza kuomba cha Mbowe, mwenyekiti wako.
Mtu anaepata division zero hivi ndio viwango vyake, dharau, kiburi, majivuno nk usitegemee mtu anaeshindwa kupata D hata 3 anaweza kutumia akili. Akili alizonazo ni za kuvukia barabara na si za kuishi na watu, wafanyakazi, nk.Shule ina faida nyingi sana, makonda angekuwa/angetumia akili kidogo kama mkuu wa mkoa, haya yote yasingemkuta
Nimesikitishwa sana na ukilaza wa huyu ndugu, kweli ccm wametuchoka, makonda kuwa mkuu wa mkoa
Anza kuomba cha Mbowe ili tuone unafiki wenu vizuri.tunataka cheti tu cha bashite
Kulikuwa na haja gani kuverify vyeti na kufukuza watu kumbe wapo watu wenye vyeti feki wamekaa offisini???? basi wote warudishwe kazini tuanze moja
ahahahahaa jina zuri lakini kwenye cheti linasomeka Big zero, halimsaidiiMbona jina zuri sana, sijui kwanini aliliacha ''Daudi Albert Bashite.''
Thubutuuu! as per Gwajima hata darasa la nne alifeli! Failure wa STD 4 si anakuwa hajui kusoma!!!Kukata mzizi wa fitina Makonda itisha mkutano na waandishi wa habari kama kawaida yako elezea elimu yako.
Tusiwe wanafiki na double standard, rais alishasema hata kama Mama Jessica anahusishwa na tuhuma lakini achanguzwe.
Kuita masheikh na kuanguka mwenye miguu ya Pengo nadhani haina uhusiano wowote na vyeti.
Fanya hivyo Mkuu wetu wa Mkoa.
Wanawaonea Manesi na Walimu kama Makonda ataendelea kuwa ofisini na wao warudi watu wamekimbia hadi familia zao kwa ajili ya vyeti. Watanzania tuungane kwa hili baba zetu na mama zetu wanadhalilishwa lakini kuna mjanja mmoja amekalia kiti kisichokuwa chake anafumbiwa macho.Kulikuwa na haja gani kuverify vyeti na kufukuza watu kumbe wapo watu wenye vyeti feki wamekaa offisini???? basi wote warudishwe kazini tuanze moja