mtzmweusi
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 8,596
- 8,878
Hatoondoka kifalaAcheni kung'ang'ania madaraka, meya hela anabeba kwenye briefcase au!! Sababu zenu hazina mashiko
Ajiuzuru kulinda heshima yake vinginevyo ni msaka tonge tu na hana means nyingine ya kuishi, atazoea tu sio lazima awe meya jamani.
Kwa kweli Ni aibu sana, imebaki miezi miwili jiji linavurugwa ili watu wapige mpunga.dah ufisadi hautaisha.
Watu wanataka kukwiba mabilioni kuelekea uchaguzi Mkuu, meya Ni kikwazo kwa dili hiloAcheni kung'ang'ania madaraka, meya hela anabeba kwenye briefcase au!! Sababu zenu hazina mashiko
Ajiuzuru kulinda heshima yake vinginevyo ni msaka tonge tu na hana means nyingine ya kuishi, atazoea tu sio lazima awe meya jamani.
=====
Fujo ZAIBUKA...Azungumza! Meya wa jiji la Dar Isaya Mwita ambaye ni pia ni diwani wa Mbweni amezuliwa na Askari Kuingia ofisi kwake alipoenda kwa ajili ya kuhudhuria vikao vya Halmashauri. Madiwani wote ni wajumbe wa vikao kuhusu masuala ya jiji la Dar es Salaam .
Sakata la leo limetokea mbele ya mabalozi wa nchi za nje wanaowakilisha nchi zao Tanzania waliofika kikazi ktk eneo la ofisi za meya . Kiitifaki Meya Isaya Mwita Charles anatakiwa awapokee kwa niaba ya wananchi wa Dar es Salaam.
Sakata la meya lilianza baada ya kura za kumuondoa kisheria ya 2/3 za madiwani wote kabisa waridhie aondoke kwenye umeya kushindikana kupatikana. Sasa suala hili limekuwa la kisiasa zaidi kwa mkurugenzi wa jiji na serikali ya CCM kufanya kila linalowezekana kumzuia meya kuingia ofisini na hata kufikia kumzuia meya ambaye ni diwani kuhudhuria vikao kama diwani.
Source: Global TV online
January 23, 2020
Dar es Salaam Tanzania
Fujo ZAIBUKA...Azungumza! Meya wa jiji la Dar Isaya Mwita ambaye ni pia ni diwani wa Vijibweni amezuliwa na Askari Kuingia ofisi kwake alipoenda kwa ajili ya kuhudhuria vikao vya Halmashauri. Madiwani wote ni wajumbe wa vikao kuhusu masuala ya jiji la Dar es Salaam .
Sakata la leo limetokea mbele ya mabalozi wa nchi za nje wanaowakilisha nchi zao Tanzania waliofika kikazi ktk eneo la ofisi za meya . Kiitifaki Meya Isaya Mwita Charles anatakiwa awapokee kwa niaba ya wananchi wa Dar es Salaam.
Sakata la meya lilianza baada ya kura za kumuondoa kisheria ya 2/3 za madiwani wote kabisa waridhie aondoke kwenye umeya kushindikana kupatikana. Sasa suala hili limekuwa la kisiasa zaidi kwa mkurugenzi wa jiji na serikali ya CCM kufanya kila linalowezekana kumzuia meya kuingia ofisini na hata kufikia kumzuia meya ambaye ni diwani kuhudhuria vikao kama diwani.
Awali Sakata hilo lilifikishwa mahakamani lakini kesi iliondolewa baada ya kufahamika kuwa Meya hakuwa ameondolewa kwa kuwa akidi haikuwa imefikiwa hivyo hakuna msingi suala hilo kufikishwa Mahakamani.
Source: Global TV online
Amen. Akina MAGUFURI wajue hii nchi ni yetu wote. Hakuna mwenye hati miliki. Pia kila chenye mwanzo pia kina mwisho.Mungu mbariki Isaya Mwita
Heshima ya nchi ilishatiwa najisi na maccm miaka na miakaNjia pekee ya kukataa ushetani wa ccm ni hii na imekuwa bahati mabalozi wameona wameshuhudia ushetani wa mkurugenzi na wenzake inazidi kuharibu heshima ya Nchi
Hawa cdm wako teyari hata kuanzisha vita kwa ajili ya umeya jamani!!!
Unafikiri kwa kutumia masaburi....alieanzisha vita ni maccm.Hawa cdm wako teyari hata kuanzisha vita kwa ajili ya umeya jamani!!!
Mmepanga kimteka au? Tangu muanze kuteka,kuua na kubambikia kesi,tena siku hizi mmetunga sheria ya Money Laundering, je mme-achieve your goal?Niliandika hapa na nitazidi kuandika Tena na Tena as long as nipo hai,,ni hivi wanaohusika kumshauri huyu mkurya wamueleze Hali halisi kuliko kuishi na nightmare ni heri akashika hamsini zake afanye kazi/shughuli nyingine kuliko kusumbuka na umeya ambao tayari ameshatolewa!!!
Kifuatacho wote mtamhurumia.
Tuliza akili bro,atekwe kwa kipi alichonacho Cha kutisha wakati Baraza la madiwani tu lishamuweza!!nitajie watu waliobambikiwa kesi na uthibitisho,sheria za ML zilitungwa na bunge ikiwemo mjuaji wenu TL na wapinzani wengine,ndio CCM ya Sasa imepanda chart sana.👍👍Mmepanga kimteka au? Tangu muanze kuteka,kuua na kubambikia kesi,tena siku hizi mmetunga sheria ya Money Laundering, je mme-achieve your goal?
Nini mlichofanikiwa?CCM yenu imepanda chat?
Mnawaza kuua tu au kuweka watu jela muda wote!!!!khaaa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio upande wa pili ndio wako tayari kuanzisha vita kwaajili ya umeya? Kwanini wasimwachie amalize miezi iliyobaki?Hawa cdm wako teyari hata kuanzisha vita kwa ajili ya umeya jamani!!!
MA CCM YAMEAPA KUMMALIZA MAANA ALIKATAA OFFER YA KUNUNULIWA WENYEWE WANAITA KUUNGA JUHUDI ZA MAGUFURI. SASA HIYO KITU IMEWAUMA MNOONDIO CHANZO CHA MATATIZO YANAYO MKABILI HMEYA ISAYA MWITA. YAANI MA CCM YAPO TAYARI KUMUUWA KISA AMEKATAA KUNUNULIWA NI AIBU SANA. HAKUNA AWAMU MBOVU KAMA HII YA 5Sio upande wa pili ndio wako tayari kuanzisha vita kwaajili ya umeya? Kwanini wasimwachie amalize miezi iliyobaki?
…Hawa cdm wako teyari hata kuanzisha vita kwa ajili ya umeya jamani!!!
MAGUFURI anapenda kuhadaa wananchi. Et maendeleo hayana chama. Then anasema ukitaka maendeleo hamia ccm it doesn't make any sense.…
Ujue wewe ni chizi!
Hivi kati ya CHADEMA na CCM .nani anaanzisha vita?
Meya amenda kama Diwani kuhudhuria kikao halali LAKINI KWASABABU YA upuuzi tu wa CCM ya Magufuli wanamuzuia Meya Mwita.....! Halafu kesho kichaa mmoja anasimama na kusema ati: MAENDELEO HAYANA CHAMA………!! Non sense.
Alishashindwa mahakamaniHivi kwa nini asiende mahakamani, maana huku ni kudhalilika