global tv

The Global Television Network (more commonly called Global, or occasionally Global TV) is a privately owned Canadian English-language terrestrial television network. It is currently Canada's second most-watched private terrestrial television network after CTV, and has fifteen owned-and-operated stations throughout the country. Global is owned by Corus Entertainment — the media holdings of JR Shaw and other members of his family.
Global has its origins in a regional television station of the same name, serving Southern Ontario, which launched in 1974. The Ontario station was soon purchased by the now-defunct CanWest Global Communications, and that company gradually expanded its national reach in the subsequent decades through both acquisitions and new station launches, building up a quasi-network of independent stations, known as the CanWest Global System, until the stations were unified under the Ontario station's branding in 1997.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Pascal Mayala mbona huchambui uamuzi wa Januari Makamba na kampeni yake ya kugawa majiko ya gesi Kanda ya Ziwa

    Ankali, Paskal Mayala kuna mjadala mkubwa wa kitaifa unaoendelea humu kuhusu Waziri wa Nishati, Januari Makamba mbona hufanyi uchambuzi wako juu ya yanayoendelea. Umeaacha wadau wengine humu na Global Tv peke yao Why?
  2. Alwaz

    Historia ya Hayati Abeid Amani Karume iliyosimuliwa na Global TV inapotosha

    Kuna historia ya raisi wa mwanzo wa Zanzibar marehemu Abeid Amani Karume inayosimuliwa na Dennis Mpagaze na Ananieli. Hii historia inamwita Karume ndiye aliyewatoa wazanzibari utumwani. Na kila ilipotaja waarabu imewataja kwa sura mbaya sana. Hawa jamaa inaonekana wana ajenda maalumu kwa...
  3. F

    Meya azuiwa tena kuingia kwenye kikao

    ===== Fujo ZAIBUKA...Azungumza! Meya wa jiji la Dar Isaya Mwita ambaye ni pia ni diwani wa Mbweni amezuliwa na Askari Kuingia ofisi kwake alipoenda kwa ajili ya kuhudhuria vikao vya Halmashauri. Madiwani wote ni wajumbe wa vikao kuhusu masuala ya jiji la Dar es Salaam . Sakata la leo limetokea...
Back
Top Bottom