Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,360
- 11,588
Mi nina siku ya tatu nasubiria text, nikiskia "fufufu fufu" kumbe ni "vodacom BIMA" [emoji35][emoji35]Kama mbwai mbwai tu[emoji16][emoji16][emoji1] toka jana usku mpk leo hatujawasiliaNa
Mi nina siku ya tatu nasubiria text, nikiskia "fufufu fufu" kumbe ni "vodacom BIMA" [emoji35][emoji35]Kama mbwai mbwai tu[emoji16][emoji16][emoji1] toka jana usku mpk leo hatujawasiliaNa
🤣🤣🤣Kama mbwai mbwai tu😁😁😄 toka jana usku mpk leo hatujawasiliaNa
😀😀kwema hivyo hivyo mate mradi siku zinaendaKwema kweli my schoolmate?
🤣🤣mpaka sasa hivi hajanicheki na mi sijamcheki nmechoka kila sku nimuaNze mimi tu😄😁mapenz gAni haYa
Cha kuazima hakistili matakoKuna mahusiano yapo kwenye methali isemayo "mvumilivu hula mbivu" but another time inageuka "ngojangoja huumiza matumbo"
"Waliochagua Nazi wakaishia koroma" wamebaki kupata na "usiache mbachao kwa msala upitao".
Mi kuna mchongo nausikilizia,tusikie kwenu Nyie mlio dimbani mahusiano yenu yapo kwenye methali gani?
Inasikitisha sanaCha kuazima hakistili matako
Niliforce nikahusiana nae kweli japo niliambiwa tayari yu na mchumba wake, sasa imefikia ukingoni jamaa kakaba kiasi kwamba sina namna tena ya kujitanua nae. Kiufupi ni bye bye zibaki salamu tu kwa simu.