Methali mpya

1. Masikini hapumziki.
2. Shujaa hachagui silaha.
 
1.Shetani hawezi kumsifia Yesu.
2.Hata mchawi ana marafiki na watu wanaomkubali!
 
timbwili timbwili la asha ngedere
 
Ukitaka kujua umuhimu wa makalio(******) kalia kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…