Bora tuwe na kingi tukagawana, kuliko kuwa na kidogo tukagombana.
Aliyejuu mfate juu.
Baniani mbaya rudisha kwao india.
PENYE KUKU WENGI, HAPAKOSEKANI KITEWEO.
Ukitaka kujua ubaya wa dalala panda lililojaa tokea posta to mbezi alafu nyuma yako asimame njema lijali au mbele yako lisimame li mama lililopiga mchina