Messi Avunja Rekodi Iliyodumu kwa Miaka 60

Messi Avunja Rekodi Iliyodumu kwa Miaka 60

Sasa mkuu post yako inamuhusu Messi ,lakini cha kushangaza Ronaldo lazima umtaje,inaonekana ni jinsi gani Uyo Ronaldo anakupa pressure kila siku uamkapo..
Sasa mkuu, mtu akiulizia updates kwani kuna shida gani?

Nasikia hakufunga kwani alitolewa dakika ya ngapi au aliingia mwishoni?
 
Aisee huyu jamaa ameshindikana!

Lionel Messi leo ameandika historia mpya baada ya kuwa mchezaji wa kwanza kabisa kufunga kwenye mechi 7 mfululizo za World Cup.

Rekodi hiyo ilikuwa ikishikiliwa na:
🇫🇷 Just Fontaine — Ufaransa (1958)
🇧🇷 Jairzinho — Brazil (1970)

Wote walikuwa wamefunga kwenye mechi 6 mfululizo pekee.

Messi alianza mfululizo wake kwenye World Cup 2022 dhidi ya:
⚽ Australia
⚽ Netherlands
⚽ Croatia
⚽ France (magoli 2)

Kisha akaendelea World Cup 2026 dhidi ya:
⚽ Algeria (hat-trick)
⚽ Austria (magoli 2)
⚽ Jordan
La Pulguita, god of football ⚽.
 
La Purga ni jini
 
Mbappe ataweza kuzivunja hizi records sababu WC imekuwa na games nyingi tofauti na miaka ya nyuma.

Messi kwangu atabaki kuwa mchezaji wa bora wa dunia miaka yote.
Unavyosema miaka yote kwani hiyomiaka yote unaijua au ilishaisha hadi uhitimishe kihivi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom