Mjomba Malume
JF-Expert Member
- Apr 8, 2025
- 909
- 1,332
- Thread starter
- #41
Hakika migo nakuunga mkono.Dunia inawaheshimu hao watu kwa sababu ya mpira harafu msaka nyoka yupo busy kuwaponda nadhani ni Udumavu.
Hakika migo nakuunga mkono.Dunia inawaheshimu hao watu kwa sababu ya mpira harafu msaka nyoka yupo busy kuwaponda nadhani ni Udumavu.
Labda atokee huko mbeleni.Unavyosema miaka yote kwani hiyomiaka yote unaijua au ilishaisha hadi uhitimishe kihivi?
🔥🔥Aisee huyu jamaa ameshindikana!
Lionel Messi leo ameandika historia mpya baada ya kuwa mchezaji wa kwanza kabisa kufunga kwenye mechi 7 mfululizo za World Cup.
Rekodi hiyo ilikuwa ikishikiliwa na:
🇫🇷 Just Fontaine — Ufaransa (1958)
🇧🇷 Jairzinho — Brazil (1970)
Wote walikuwa wamefunga kwenye mechi 6 mfululizo pekee.
Messi alianza mfululizo wake kwenye World Cup 2022 dhidi ya:
⚽ Australia
⚽ Netherlands
⚽ Croatia
⚽ France (magoli 2)
Kisha akaendelea World Cup 2026 dhidi ya:
⚽ Algeria (hat-trick)
⚽ Austria (magoli 2)
⚽ Jorda
Si.Como no migo.
Imeongezeka mechi 1 tu ya round of 32, michuano iliyopita ilikuwa ukitoka group stage unaingia round of 16Mbappe ataweza kuzivunja hizi records sababu WC imekuwa na games nyingi tofauti na miaka ya nyuma.
Messi kwangu atabaki kuwa mchezaji wa bora wa dunia miaka yote.
Kuhusu Mbappe sina shaka na hilo lakini kuhusu yule kizee cha Ureno mmmhMbappe ataweza kuzivunja hizi records sababu WC imekuwa na games nyingi tofauti na miaka ya nyuma.
Messi kwangu atabaki kuwa mchezaji wa bora wa dunia miaka yote.
Na bado😂Team Ronaldo njooni muone rekodi juu ya rekodi zikimuendea Messi😂😂😂