Messi and Yamal will meet again in the 2026 World Cup final

Messi and Yamal will meet again in the 2026 World Cup final

Ronaldo 41
Mess ana 38

Kwa kigezo cha umri Ronaldo ni bora kuliko mess
Siku hizi mmehamia kwenye umri? Kwanza kabisa Messi ana miaka 39

Ok well alipokuwa na miaka 38 Ronaldo alifanya nini cha maana kwenye klabu yake na timu yake taifa?

Lete takwimu za Messi wa miaka 38/39 na za Ronaldo akiwa na miaka 38/39 tuone kila mmoja mchango wake kwenye klabu na timu ya taifa

Tufunge huu mjadala
 
Ronaldo 41
Mess ana 38

Kwa kigezo cha umri Ronaldo ni bora kuliko mess
Messi (miaka 38–39): Amekuwa na mchango mpana zaidi katika magoli, pasi za magoli, kutengeneza nafasi na kuiongoza timu

Ronaldo (miaka 38–39): Alikuwa kuwa mfungaji tu, lakini mchango wake wa jumla katika uchezaji ulikuwa mdogo ukilinganishwa na Messi
 
View attachment 3630580
View attachment 3630582
Messi and Yamal will meet again in the 2026 World Cup final. ⚽️

Their connection dates to a 2007 charity calendar shoot at Camp Nou. Photographer Joan Monfort captured 20-year-old Messi with five-month-old Yamal after the baby’s family was selected through a raffle in Mataró’s Roca Fonda neighborhood. Nineteen years later, they will compete for the World Cup on July 19 in New Jersey.

The matchup puts Argentina captain Lionel Messi against Spanish star Lamine Yamal.
Kaziiendeleeee
 

Attachments

  • Screenshot_20260717-194335_Lite.jpg
    Screenshot_20260717-194335_Lite.jpg
    165.6 KB · Views: 8
Messi akiwa na miaka 17–18 alikuwa tayari anaonyesha kipaji cha kipekee, lakini bado hakuwa mchezaji wa kudumu kwenye kikosi cha kwanza cha Barcelona.
Lamine Yamal akiwa na miaka 17–18 tayari ni mchezaji muhimu wa Barcelona na Hispania, ameshinda ubingwa mkubwa akiwa na mchango mkubwa, na amevunja rekodi nyingi za umri mdogo.
Bro kaangalie kile kikosi cha Barca ambacho messi alikuwa na miaka 17-18 na hiki ambacho yamal anacheza

Ndiyo utajua kwanini Messi hakuwa mchezaji tegemeo kwa umri huo na yamal amekuwa mchezaj tegemeo
 
Ukilinganisha umri ambayo mess yuko kwenye game na yamal kuwa mpinzani wa mess ni wazi Yamal ni bora kuliko mess
Consistency matters the most, haiwezekani mtu aliyebaki kwenye ubora ule ule kwa miaka 20 akachukua ballon dior 8 mbele ya strong rival CR7 eti afananishwe na kijana ambaye leo ndio kwanza anatimiza miaka 19, ulishwah kusikia messi akishindanishwa na maradona kipindi kile akiwa na miaka 19?
 
Back
Top Bottom