Message kwa waafrika wanaoishi Israel

Message kwa waafrika wanaoishi Israel

Acha upumbavu bana!!! Hivi hujaona Watanzania wanavyokemea kwa mfano mauaji dhidi ya albino!? Ubaguzi wowote ule popote pale duniani unastahili kukemewa. Mauaji ya albino nani aliyekwambia kwamba mimi siyakemei!? Acha kukurupuka na kuandika vitu ambavyo havina ukweli. Uliza kwanza kabla hujakurupuka mimi najihusisha sana na kupiga vita mauaji ya albino kwa hali na mali. Wewe kweli ni mropokaji maana unakurupuka tu na kuandika pumba ungewahi kusoma michango yangu hapa kuhusu upatikanaji wa huduma muhimu nchini ikiwemo matibabu usingeandika hizi pumba zako.

Kuna hii general tendency ya sisi waafrika kulaumu wengine hasa wazungu kwa ubaguzi,ilhali wenyewe ni wabaguzi wa kutupwa.Kama mtu hakutaki kwake kwanini ung'ang'anie?Tuanze sisi wenyewe kutobaguana kwanza;tuache ubinafsi na ufisadi,tujenge uchumi wetu vizuri,tuboreshe huduma za kijamii ili nao waje kwetu kutafuta maisha.
Wewe unashangaa hayo ya wanawake,lakini ushangai mauaji ya albino hapa yasiyo na mwisho,kina mama kufa kila kukicha wakati wa kujifungua kwa kukosa huduma bora za afya na vifo vingine vingi vya kinyama ambavyo vingeweza kuzuilika?..acha hizo wewe!
 
YOU ARE WRONG.

Christianity is NOT A RELIGION.

That is why you are dumb and mindless.

Here I'm concern about Israelis attack African migrants during protest against refugees, kama unataka kunihubiria dini yako or whatever it is, umeshachelewa kwasababu nimeshagundua white caucasions created that religion. Very sorry, christianity is not for me.
 
Am I teaching Christianity, God Hater, Nope. It is you who is flabbergasted, perplexed and confused, and not me. I am enjoying my God, and you are spewing venomous,

Get a life young man.
 
Am I teaching Christianity, God Hater, Nope. It is you who is flabbergasted, perplexed and confused, and not me. I am enjoying my God, and you are spewing venomous,

Get a life young man.

Black Jews
 
Am I teaching Christianity, God Hater, Nope. It is you who is flabbergasted, perplexed and confused, and not me. I am enjoying my God, and you are spewing venomous,

Get a life young man.

You get me wrong, I'm not confused. I just don't really count in the teachings and the view of Christianity. Anyway, you have your religion and I have my way of life, so peace out 🙂
 
Karibia inchi nyingi mweusi anabaguliwa na mweupe sababu ni sisi wenyewe nyi munazani mf TZ iwe ni kati ya mataifa tajiri duniani mweupe akikuona atakuamkia
 
Acha upumbavu bana!!! Hivi hujaona Watanzania wanavyokemea kwa mfano mauaji dhidi ya albino!? Ubaguzi wowote ule popote pale duniani unastahili kukemewa. Mauaji ya albino nani aliyekwambia kwamba mimi siyakemei!? Acha kukurupuka na kuandika vitu ambavyo havina ukweli. Uliza kwanza kabla hujakurupuka mimi najihusisha sana na kupiga vita mauaji ya albino kwa hali na mali.

Wewe ndiye inabidi uache kuwa mpumbavu na kuanza ku-impose your values on others.Huwezi kumlazimisha mtu aishi unavyotaka tena kwenye ardhi yake.Yakikushinda rudi kwenu,ebo!Kumbe unajua kuwa mnaua albino,hujamaliza ku-settle issues zako kwenu,unaanza kuvamia mambo ya wanaume?
Halafu unadhani kila mtu anakujua hapa jf,vipi mkuu mbona una fikra za kipimbi wewe?Nadhani unataka matusi badala ya kujadiliana hoja kistaarabu.Haya njoo tuendelee mkuu!
 
Hebu tuwekee na ile ya wasaudia wanavowanyanyasa na kuwatesa wadada wa ndani waafrica,afu uweke na ile ya polis wa marekani walomuua mwafrika kwa kumkaba,
 
Ni heri hawa wanao andika ujumbe na kuwa ambia warudi kwao,its okay infact hawana vibali vya kuishi,mbona Tanzania waliwarudisha wanyaruanda,waburundi kibao kwenye operation kimbunga?,au mmesahau,okay twende South Africa, nimewahi kuishi kihalali pale napafahamu wanauwa waafrica wenzao wahamiaji kutoka zimbabwe hadi .

Watz tena wana wachoma moto mchana kweupe, tusiwe na double standard kabisa,nenda kwenye nchi ya mtu kihalali, isitoshe kama umefanikiwa kuzunguka duniani suala la utaifa lipo kila mahali dude, ukienda Europe sasa imejaa anti semitism japo media hazirushi, cha msingi ukimbuke nchi

Uliuozaliwa na kwenu,upatunze vizuri hata ukienda ugaibuni ujue one day utarudi kwenu:
and the last thing is ,,, ntamalizia kama ntakuwa sijaeleweka
 
You get me wrong, I'm not confused. I just don't really count in the teachings and the view of Christianity. Anyway, you have your religion and I have my way of life, so peace out 🙂

I don't believe in a religion or follow any religion. I am Christian and Christianity is not a religion. You are still confused.
 
Hata ss watz tuliwafukuza warwanda baada ya uhalifu kuzidi,waafrica wenyewe cc ndo wajinga
 
And you guys ambao kimewauma sana hao wa Eritrea na Wa sudani na Ethiopian migrant ambao wanaambiwa warudi kwao walipata hifadhi kipindi nchi xao zikiwz na vita sasa vita imeisha,serikali za nchi zao za kiafrica ndo zinajukumu la kuchukuwa watu wao, then nadhani tuungane kwa pamoja kKUPINGA MAUAJI YA ALBINO, hao sio wzkimbizi,ni raia halisi wa Tanzania wanauliwa kinyama ndani ya nchi yao,ndani ya mikoa yao wenyewe,nani katili hapo:ALBINO are human being like you and me,tupinge hizo mambo
 
Sioni ubaya wa ujumbe huo kwa sababu kwa kiasi fulani Waafrika tunaishi kama tupo kwenye jungle, mfano, kuua watu wenye ulemavu wa ngozi, vurugu za barabarani, kutokufuata sheria, wizi, kupenda pesa bila kufanya kazi, rasimu ya katiba nzuri kutupwa na kuandika rasimu ya ajabu, hospitalini wazazi wamerundikana, kwenye umeme wizi mtupu, kwenye elimu ni kufeli tu, ukipeleka gari kwa fundi ni kuongeza ugonjwa, kila sehemu ni chafu, na mambo mengine ya ajabu.

Hapo huyo jamaa anawaambia visa zao ziki-expire warudi kwao wasing'ang'anie huko!! freedom of speech!! Hivi akija kwako mgeni haeleweki, hautamwabia harudi kijijini akalime?!
 
Angalia jinsi ulivyo mpumbavu ni nani hapa duniani mwenye haki ya kumbagua binadamu yeyote yule eti kwa vile huyo mbaguzi ni ardhi yake na anayebaguliwa si ardhi yake!!! Fungua akili yako ya kitaahira ujue utumwa na ubaguzi unapigwa vita kila mahali duniani. Huu ni mwaka 2015 na siyo karne ya 15 ambapo utumwa na ubaguzi ulishamiri duniani kwa sababu tu ya tabaka fulani kwa watu kujiona ni bora kuliko matabaka mengine kutokana tu na ngozi yao. Uwe unasoma mabandiko hapa ili uelewe uchangiaji wa wanachama mbali mbali baadaya kukurupuka na kuandika uozo usiokuwa na ukweli wowote ule. Mstaarabu utakuwa wewe ambaye unaona Waafrika wenzako wanabaguliwa na wewe unadai eti huwezi kuwa kwenye nchi ya watu halafu uwapangie namna ya kuishi!!! Wewe kweli ni juha wa mwisho ukiwa nchi za watu hata ukiambiwa utembee uchi barabarani basi utafanya hivyo kwa sababu tu uko nchi ya watu huwezi kuwaamulia mfumo wa maisha hata kama mfumo huo umejaa ubaguzi na unyanyasaji wa hali ya juu. Acha akili za kushikiwa fungua akili yako iliyojaa utaahira ili uweze kuchanganua mambo kwa kina na si kwa kutumia elimu MULUGO division 5.

Wewe ndiye inabidi uache kuwa mpumbavu na kuanza ku-impose your values on others.Huwezi kumlazimisha mtu aishi unavyotaka tena kwenye ardhi yake.Yakikushinda rudi kwenu,ebo!Kumbe unajua kuwa mnaua albino,hujamaliza ku-settle issues zako kwenu,unaanza kuvamia mambo ya wanaume?
Halafu unadhani kila mtu anakujua hapa jf,vipi mkuu mbona una fikra za kipimbi wewe?Nadhani unataka matusi badala ya kujadiliana hoja kistaarabu.Haya njoo tuendelee mkuu!
 
Eee wana wa israel mungu aliwatuma nini?quluan inasema mtakuwa wa kwanza kufa katika mwisho wa Dunia.

swissme
 
Back
Top Bottom