[emoji2]Mrembo!! Katafute uo mzigo alafu uje nikuchumu.
Zamu ya Manfongofataki music ...
mesen selektaaaa.....
zamu ya nani Leo ..
usijali Baharia wangu!Zamu ya Manfongo
Haaa. Haaa. Haaa.usijali Baharia wangu!
zamu yako itafika keshoHaaa. Haaa. Haaa.
Huyu jamaa nilimwelewa kwa biti ya kwanza ile kanyaboya hii ameimba kama teknoDaah!!! Aisee huyu jamaa anajua good music... Namuelewa sana toka 'haya' mpaka huku anapoelekea.
Nsingependa kuongea sana wadau ningeomba mtafute mzigo wake mpya unaitwa 'kiss and love' ni hatari aisee.
Salute sana bruh!!.
Fetality Musicfataki music ...
mesen selektaaaa.....
zamu ya nani Leo ..
Weka Mwamba wekaaaaa! Wee utakuwa wa huku kwetu huku!zamu yako itafika kesho
weka wekaa!!!Weka Mwamba wekaaaaa! Wee utakuwa wa huku kwetu huku!