Meseji za baba yangu zinanikwaza

Meseji za baba yangu zinanikwaza

Baba yangu akiwa anatoka kazini anajua mi nakua nipo nyumbani. Ananiuliza nyumbani nini hakuna namuandika kwa meseji anapitia supermarket ananunua analeta nyumbani.

Leo siku ya nne anakosea kutuma meseji badala atume kwa mama anatuma kwangu. Meseji sio nzuri, ni meseji za mapenzi na nyingine matusi. I find it really disrespectful, sitakiwi kujua mambo wanayofanya wakiwa wenyewe.

Je nimwambie kama anakosea kutuma au ninyamaze maana mi sitaki kuona meseji zake kama hizi.

Nifanye nini?
Mwambie ukweli ndio dawa au unamuogopa mazee
 
Rudisha moja kwake, ndio itamshtua.
 
Weka message mbili tatu hivi tuzimeng'enye!!
 
Angalia hizo sms zinamhusu nani?Ww au mzaz wako. Km ww mwambie tena leo leo, ukikaa kimya ataona hata ww unafurahia ndio maan umekaa kimya. Km zinamhus mzaz wako sikilizia kwanz mpaka zifike siku 10 ukiona bado anatuma anafany maksud km kukosea huwa ni mara 1 au 2 lkn hazid hapo. Mpe makavu live anafany maksud tu.Ukiwa mtu mweny hekima na busara huwez kutumia maneno ya ajabu ajabu hat km unamtumia mwandani wako. Kuna tafsida unaweza tumia peny k unaweka tunda, pipi n.kmm ilishawah kunikuta badala nimtumie wife nikamtumia mama mkwe. Wife akanipigia simu kuunilza umemtumia mama sms gan? kuja kushtuka duh! Fasta nikampigia mama mkwe nikamuomba msamaha, sms ilikuwa ya mapenz. uzuri mm huwa sina tabia ya kutumia maneno ya ovyo ovyo sbb najiheshimu na ni mwanaume ninayejielewa na pia wife nimwelewa sana. Kutumia maneno ya ovyo yanashusha heshima sana, unaweza ukaona kawaida lkn yana negative impact kubwa sana.
Maneno ya (h)ovyo ndiyo yapi?
 
INAONEKANA WEWE NI MTOTO WA KAMBO KWAKO SO ANATAFTA MWANYA WA KUKUMEGA
 
Huo ubaba ukoje? Kama wa kambo.. Rudisha tu sms
 
Embu ziweke hizo msg hapa tuzione ndio tutajua kama anakosea au makusudi ili tuanze pa kukushauri
 
Baba yangu akiwa anatoka kazini anajua mi nakua nipo nyumbani. Ananiuliza nyumbani nini hakuna namuandika kwa meseji anapitia supermarket ananunua analeta nyumbani.

Leo siku ya nne anakosea kutuma meseji badala atume kwa mama anatuma kwangu. Meseji sio nzuri, ni meseji za mapenzi na nyingine matusi. I find it really disrespectful, sitakiwi kujua mambo wanayofanya wakiwa wenyewe.

Je nimwambie kama anakosea kutuma au ninyamaze maana mi sitaki kuona meseji zake kama hizi.

Nifanye nini?
hata sijakuelewa ww! sidhan kama ni baba yako mzazi huyo! kama ni kweli sioni shida kumwambia baba yako kama anakosea
 
akirud nyumban lazma aniulze naendeleje shule. cku hz aniulzi anifat chumban. jna wakat tunakula akawaulza wadogo zngu wanaendeleaje shule mi ajaniulza ktu chochote. aniulzi chochote. maa anaona asemi ktu ananyamaza tu roho inaniuma sna nfanye nn anpende km zaman
Hiyo ni moja ya thread yako wewe mtoa mada! Ain't you a zombie!?
 
Ukisikia mabazazi ndo baba yako vitu vya sokoni kukuuliza ww ndo mke wake message za leo nina hamu mpnz anakosea zinakuja kwako jipange la sivyo laana inakunyemelea
 
Back
Top Bottom