Meseji za baba yangu zinanikwaza

Meseji za baba yangu zinanikwaza

bBaba yangu akiwa anatoka kazini anajua mi nakua nipo nyumbani ananiuliza nyumbani kuna nini hakuna namuandika kwa meseji anapitia supermarket ananunua analeta nyumbani.

Leo siku ya nne anakosea kutuma meseji badala atume kwa mama anatuma kwangu. Mesej sio nzuri meseji zaa mapenzi nyengine matusi. I find it really disrespectiful, sitakiwi kujua mambo wanayofanya wakiwa wenywe. Nifanye nini, nimwambie kama anakosea kutuma au ninyamaze na mi sitaki kuona meseji zake kama hizi.

Nifanye nini?
Reforward kwake
 
Ina maana haja save namba yako?
 
Hawa madingi wa kidigitar ni noma,ukizubaa tu atakutafuna binti!..stuka chukua hatua.
 
  • Thanks
Reactions: ora
bBaba yangu akiwa anatoka kazini anajua mi nakua nipo nyumbani ananiuliza nyumbani kuna nini hakuna namuandika kwa meseji anapitia supermarket ananunua analeta nyumbani.

Leo siku ya nne anakosea kutuma meseji badala atume kwa mama anatuma kwangu. Mesej sio nzuri meseji zaa mapenzi nyengine matusi. I find it really disrespectiful, sitakiwi kujua mambo wanayofanya wakiwa wenywe. Nifanye nini, nimwambie kama anakosea kutuma au ninyamaze na mi sitaki kuona meseji zake kama hizi.

Nifanye nini?

Ni baba yako mzazi,baba mlezi ama baba mpenzi? Je umeshavuka ule umri wa mtoto wa kufikia wa Dad Faki Dadi?
 
Amekuzaa, ana kulisha kwa nini usimpe raha babako? Huyo unayempa amekufanyia nini cha maana?
 
Angalia hizo sms zinamhusu nani?Ww au mzaz wako. Km ww mwambie tena leo leo, ukikaa kimya ataona hata ww unafurahia ndio maan umekaa kimya. Km zinamhus mzaz wako sikilizia kwanz mpaka zifike siku 10 ukiona bado anatuma anafany maksud km kukosea huwa ni mara 1 au 2 lkn hazid hapo. Mpe makavu live anafany maksud tu.Ukiwa mtu mweny hekima na busara huwez kutumia maneno ya ajabu ajabu hat km unamtumia mwandani wako. Kuna tafsida unaweza tumia peny k unaweka tunda, pipi n.kmm ilishawah kunikuta badala nimtumie wife nikamtumia mama mkwe. Wife akanipigia simu kuunilza umemtumia mama sms gan? kuja kushtuka duh! Fasta nikampigia mama mkwe nikamuomba msamaha, sms ilikuwa ya mapenz. uzuri mm huwa sina tabia ya kutumia maneno ya ovyo ovyo sbb najiheshimu na ni mwanaume ninayejielewa na pia wife nimwelewa sana. Kutumia maneno ya ovyo yanashusha heshima sana, unaweza ukaona kawaida lkn yana negative impact kubwa sana.
 
Mr Hero

[emoji2] [emoji2] [emoji2] Nyani haoni.....
Aandishi=uwandishi
Acha=Wacha

wacha Rais wenu (umeshindwa kujua wapi unapaswa kuweka herufi kubwa)

N.B
Usipende kusafisha wenzenu,ili hali wewe bado ni mchafu.

Meseji kwako @Mr Helo:
 
Mwambie kwa kumrushia hizo text na chini yake muulize hii meseji inanihusu kama unaogopa mpe simu mama yako muonyeshe hizo meseji wamalizane wenyewe
Ushauri mzuri ni huo wa kwanza, amuulize tu kuwa Baba hii ni meseji yangu? asisahau kuandika Mimi mwanao (fulani)
 
ImageUploadedByJamiiForums1465026056.391820.jpg

Huyu binti ni cheche, hizi tabia zako na baba yako mmeanza zamani, chekini huo Uzi wake.
 
Ukute namba yako ndo kasave mama ako, so anajua anamtumia mama ako kumbe we ndo unapata utamu wa kusisoma, ukirud home leo mwambie akutajie namba za mama ako.
 
Like father like daughter [emoji1435][emoji1435][emoji1435]
 
Tupia picha kwnza labda tutapata picha kamili ya hizo meseji isije ikawa nawe bidhaa adimu nchini humu(sukariiii).....
 
Back
Top Bottom