Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,469
mfowadie
Pengine ashaanza kutamani ze utamu ya baba maana kwa maelezo yake huwa anasoma na kuzielewa vizuri tena kwa marudioWewe Unajua anakosea kutuma sasa badala ya kuzifuta haraka unazihifadhi na kuzirudia rudia kuzisoma hizo msg zinakusisimua? Basi sema ukweli kama unamtaka babaako ushauriwe cha kufanya hapa
ndio baba yngu mzazini babako mzazi?
nmezifuta sijazihifadhWewe Unajua anakosea kutuma sasa badala ya kuzifuta haraka unazihifadhi na kuzirudia rudia kuzisoma hizo msg zinakusisimua? Basi sema ukweli kama unamtaka babaako ushauriwe cha kufanya hapa
asante kwa ushaurNjia rahisi kuliko zote muda akikutumia usikae sana, forward umrudishie km ilivyo..hapo utampa wakati mgumu yeye kutafakari zaidi yako.
Usimuonyeshe msg mama yako ndo maana unaingia uoga kwa sababu huenda amekosea kweli kutuma msg itaonyesha utovu wa adabu kumkosea heshma baba yako kwa kumuhisi vibaya (kesi itakugeukia ww)
Inawezekana baba yako anafanya kusudi pia kwani inahaja gani kuyaandika kwa msg anayoyafanya na mkewe chumbani wakati usiku wapo pamoja na ni mambo hayo hayo yanafanyika.
Umeshakuwa mkubwa unajua baya na zuri, kuwa serious unapoongea na watu na status yake jaribu kutofautisha mazungumzo/msg unayozungumza na rafiki au na baba..kusiwe na weakness ndogo ndogo wakati wa msg unazomtumia au mazungumzo unayoongea na baba yako..facial expression ukiongea nae akuone ni mwanae
baba yngu hawezi kufanya ivoIko hivi ndugu, katika majaribio kadhaa niliyowahi kusikia wazazi wanaanzaje na baba zao ni mbinu mojawapo walizitumia na ukijifanya kulegeza unaliwa mchan kweupe, nakuhakikishia baba amedhamiria huwa tunakosea mara moja lakini sio mara mbili tatu! Na si ajabu ameanza ushirikina kaa chonjo utaliwa.
sijakuelewaAna...taka tunda.
Ni baba yako mzazi au.bBaba yangu akiwa anatoka kazini anajua mi nakua nipo nyumbani ananiuliza nyumbani kuna nini hakuna namuandika kwa meseji anapitia supermarket ananunua analeta nyumbani.
Leo siku ya nne anakosea kutuma meseji badala atume kwa mama anatuma kwangu. Mesej sio nzuri meseji zaa mapenzi nyengine matusi. I find it really disrespectiful, sitakiwi kujua mambo wanayofanya wakiwa wenywe. Nifanye nini, nimwambie kama anakosea kutuma au ninyamaze na mi sitaki kuona meseji zake kama hizi.
Nifanye nini?
una uhakika kama anakosea? labda anakutumia wewe
Mkabili umwambie anaweza kuwa anapima maji kwa mguu ubazazi na ufedhuli una mwendokasi siku hizi.
Yaah!dunia ndugu yangu imevaa bikini hii UKAUZU umepitiliza.Kwahiyo ukimya wake Unamaanisha atatafunwa muda si mrefu