Meseji Za Airtel Nimezichoka

Meseji Za Airtel Nimezichoka

mgange hussein

Senior Member
Joined
Sep 10, 2012
Posts
159
Reaction score
43
Amani kwenu Wana Jamii Forum.Nimejiunga na kifurushi cha Wiki airtel kwenda aitel.SASA cha ajabu na kunikasirisha kila dakika inakuja meseji kuwa (umeshatumia asilimia 70 ktk kifurushi chako).Naomba wenye kujua jinsi ya kufanya meseji zisije kabisa.Natumia simu Alkatel 918.Nitashukuru kwa msaada wenu
 
mkuu hata mie wameshanikera nilidhani kwangu tu.mfano sasa nimenunua kifurushi hata sijaanza kukitumia tayari wameanza kutuma meseji zao eti nimetumia 70% sijui tufanyeje hapo
 
Dawa yao ni kutojiunga tu na hicho kifurushi.
Ova
 
Juzi nimewatumia meseji kwenye twitter nimewaambia navunjilia mbali laini yao maana wananisababishia usumbufu usio wa lazima.. Usiku wa manane meseji za spd sijui nini..wakanipigia jana oooh samahani tunalifanyia kazi ujue ni automatic msg ..wanakera sana
 
Hawa jamaa wababaishaji sana matatizo kwao hayaishi,bora kujaribu kwingine.
 
Pia kuna msg za switchON kila siku wanatuma msg 3 kwa kila mteja
 
Back
Top Bottom