Meseji tamu kwa umpendae

Tetra

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
1,526
Reaction score
771
::
My love for you is like diarrhea I can't hold it.
::
24 sweet hours
Make 1 sweet day,
7 sweet days
Make 1 sweet week,
4 sweet weeks
Make 1 sweet month,
12 sweet months
Make 1 sweet year
But 1 sweet you
Make 1 sweet Life
::
Nipo nikupendae kwa lugha zote
::
TUPIA NA WEWE YAKO IMFIKIE WAKO humu humu Chit Chat
=
 
Hongera kwa kumpata sweet.Mie naomba kopi ya hii meseji imfikie stevoh popote pale alipo
 
Last edited by a moderator:
ha haaaa, "Nakupenda kama mchuzi wa jogoo ulioungwa kwa nyanya, vitunguu na binzari", lol!

::
Ha ha haa @FP
Nenda nae bega kwa bega kama jasho la kuku
=
 
nipo radhi kupigwa bomu kuliko kukosa wewe dedicated to Bishanga
 
Last edited by a moderator:
Inanikumbusha enzi za Ilboru tunawaandikia vimwana wa weruweru,korogwe girls na Ashira,barua shurti uipake poda ya ambi (Zion Daughter wayajua haya? Siku hizi mnatwangana bbm na whattsup)..........those days no janga la hechaivii mnapuyanga tu kama ilivyokuwa bishanga na Mamndenyi,siku hizi subutu yako kama hujaimbiwa mapambio.
 
Last edited by a moderator:
Bishanga bhana???? kigugumizi.

 
Last edited by a moderator:
Suprise iz better than Promise.
Dedication kwa my Huz Ben Saanane.

Mjini Pesa, U-handsome kwa ndugu zako kijijini.
Dedication kwa Chimbuvu.

Ulikiona chanini, wenzako wamesema watanipata lini.
Dedication kwa Arushaone.

Raha ya ubwabwa matandu, utamu wa kiuno Chachandu.
Dedication kwa Remote.

Upole wako wanimaliza, kifua chako chanipumbaza, nimekufa na kuoza, simtaki mwingine Braza.
Dedication kwa tedo.

Poa wangu kichuna, naona umeuchuna, wajanja wanajinona, tokeza ujitwalie.
Dedication kwa Chilli.
 
Last edited by a moderator:

Hapo kwa Red.........Mwaaah, mwaaaaah, mwaaaah x10000
 

Tuma Salamu na Wimbo wa kusindikizia
 

Hapo kwenye kahawia Chimbuvu utajibeba wallah.....
 
Last edited by a moderator:

Hahahaaa kaka Bishanga umenikumbusha enzi za NIGHT DISCO Korogwe girls na TANGA TECH/GALANOS baada ya graduation yaani unaandika barua unaipulizia pafyumu.....na karatasi shurti lichorwe maua..afu mwisho kabisa unaandika with T. L.C unajua kirefu chake Bishanga? Bila kusahau wimbo wa kidhungu wa mapenzii uliokeremisha

Hapo ikifika grad lazima aje upate partner wa ku dance naye....jamani zamani RAHA lol
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…