SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,904
Bujibuji leta mrejesho
Kaamua kutuweka kwenye suspense
Bujibuji leta mrejesho
Kashauweka tayariKaamua kutuweka kwenye suspense
Ww hupekui?Nani anawatuma kupekua sim za wake/wapenzi wenu?
Kashauweka tayari
hakika hii ishu imenitokea mimi binafsi na si mtu mwingine mchana huu wa leo
Wewe mkaka, habari yakooooo.Mkuu pole sana
Vipi Shemeji ulimsamehe ama ulipiga chini?
Umeshangaa eeeeh. lol.Iam trying to figure out the situation, but i cant easily digest it...Ni mwizi gani huyu atakayeingiza sms ya namna hiyo kwa mke wa mtu!..";mi sina la kusema, coz najua hou u make me crazy on bed, roll it babe"....Sms ni ushahidi mzuri sana kimahakama....Huyo mwanamke nae si wako kama anakaa kimya na sms ya namna hiyo bila kuisalimisha kwako...this is living with a devil..icant believe!..Ni mkeo au girlfriend?...embu kuwa serious basi Bujibuji...Ningekuwa Dar ningekutafuta unionyeshe mwanamke wa aina hiyo anafananaje...gooosh!...Yani it pains me more than 2u!...Jesus!
Utuletee mrejesho wa ulichoamua kukifanya.hakika hii ishu imenitokea mimi binafsi na si mtu mwingine mchana huu wa leo
RIPUsikae mbali na makundi ya watu broo. Huku kwetu tumezika kijana kajikata koromeo kisa mapenzi.
hicho ndyo kipimo cha utu uzima
Hiv bujibuji unatania au sirias