Meseji kutoka kwa mama mkwe

Meseji kutoka kwa mama mkwe

"Maneno ni sumu, sumu balaa!
Inaanza taratibu, Mwisho wake jeraha!

Afande Selle
Maneno yanaumiza kwa kweli.... Ila yakiamua uone duniani uko mwenyewe utayapenda!!
 
MAMA MKWE YUKO SAHIHI..NA APA VIJANA WENYE AKILI ZA KULELEWA AU KUOLEWA NA MAMA ZAO HAWATOELEWA ATA KIDOGO.

NI UJINGA WEWE MTOTO WA KIUME KUENDESHA GARI YA BABA YAKO UKIWA TAYARI NA MJI WAKO..HII INA MAANA BABA YAKO AKITAKA MZIGO KWA MKE WAKO ANAPEWA TU. SABABU WEWE NGUCHILO HUJUI KUTAFUTA VYAKO.

MZAZI ANAERUHUSU HAYO NAE NI MJINGA TU..HUWEZI KUMDEKEZA MWANAO WA KIUME KIAS HICHO..STUPID FAMILY
Mkuu hata kama lkn mama mkwe sio wa kusema hayo maneno. Huyu mama hajitambui
 
Japo tunasema pesa si kila kitu, ila kiukweli pesa ukiwa nayo inakuongezea heshima kwa watu na inakuongezea furaha wewe binafsi.

Yaliyomkuta huyu jamaa yangu, kwa kifupi ndoa yake imekua na migogoro ya mara kwa mara na kiasi kikubwa mke ndio sababu kwani kila kinachotokea lazima akashtaki kwao (kwao mwanamke), wakikwazana kidogo mwanamke anashtaki kwa mama yake, basi hii imefanya kuzidisha mgogoro kati ya kijana na mama mkwe.

Kijana kiuchumi yupo kawaida tu japo anajitahidi kupambana ila mke anamzidi mshahara mama mkwe anajua hilo basi Jana mama mkwe kamtumia Meseji inasema hivi MWANAUME ANAEENDESHA GARI LA BABA YAKE HARUHUSIWI KUONGEA NENO KWENYE KUNDI LA WANAUME WANAOMILIKI BAISKELI ZAO.

kina mama punguzeni midomo kwenye ndoa za watoto wenu, wanaume mzidi kupambana, nanyi wanawake mjifunze adabu sio kila kitu ni cha kushtaki kwenu. Ila hili tusi la mama mkwe shkamoo!!!!!!
Wanawake wa hadh ya kulingana n ww wapo hao wanaowazid pesa mnakomaa nao wa nn,mwanamk akianz kushik vihela hugeuka changamoto,
 
Huo ni msemo, haendeshi gari la dingi, ila ni msemo kumaanisha mwanaume hana kipato, dongo yani kwa nilivoelewa
Angalia asikutukane tu

Back
Top Bottom