Meseji imenishtua usiku huu

Meseji imenishtua usiku huu

hata kama amecopy but nia yake ilikuwa kuonyesha anaku-care
 
Mkuu pole sana. Huyo mpenzi wako atakuwa ameichukua sms kutoka kwa rafiki yake. Akaamua akutumie. Usimuwazie vibaya. Mshinde shetani.
 
Hiyo ilikuwa gudbite message kaka...............................
 
hahahaaaa...!! mkuu kuna message mtu unapokea hadi unaona aibu kuisoma. kwa kuwa wewe ni mtu mzima ushajua unaibiwa. lakini ukute kuna limwanaume linamtongoza tongoza mwenyewe kashamkatalia tangia zamani. Lakini siku hiyo lilimtumia msg akaona ni nzuri, ikabidi aitafutie kazi, kwa kuwa anakupenda akaona akutumie wewe. kapitiwa kuedit tu jamani msamehe bule. amekutumia kwa nia njema tu. Mia
 
Lazizi wangu kanitumia meseji ikiwa imepambwa kistadi kweli huku akigani mashairi akinitakia usiku mwema mwishoni inasomeka "usiku mwema na ndoto njema mama ninakupenda na ninakuahidi kukupenda milele" hapa amepaste au david cameroun? Mia
Bwana yesu asifiwe broda!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom