Meseji hii ya masista du

Meseji hii ya masista du

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,349
Reaction score
36,303
Upo naye katika uhusiano, siku moja mnagombana , anakuandikia msg au anakupigia simu , "usinipigie simu wala kunitumia meseji zako tena and all that, futa namba yangu ya simu na mimi nafuta yako." ( ANAPIGA BONGE LA MKWARA ), then mtu mzima unapiga kimya, baada ya siku tatu, anakutumia meseji " Honey, a miss u alot jamani utakuwa free saa ngapi? mi nimeshajiandaa tayari nasubiri tu sms yako, nichukue gari nije ..Love u so much hun mwaah". Mtu mzima unapiga kimya, hauijibu hiyo meseji.. Baada ya dakika tano hivi,. Anakutumia meseji nyingine anasema " Samahani hiyo meseji imekuja kwako kimakosa ". Mtu mzima unapiga kimya. Baada ya dakika thelathini anakupigia simu, haupokei, missed call zinafika saba....Dakika kumi na tano baadaye anakuandikia meseji huku akitaja jina lako tena kwa ufupi. Hi ( Jina lako ), leo tunaweza kuonana? mcn u a lot my dear!

Masista du acheni utoto na mapenzi ya kitamthiliya, huyu ndo amesha mwagwa hivyo, zile zama za kunyenyekea papuchi zimekwisha pitwa na wakati...
 
ahaa!ahaa! Huyo anakuwa anaweweseka na haba!!
 
Da umenifurahisha sana. Hawa wenzetu ni dhaifu saba wanaweka misimamo halafu wanashindwa kuisimamia. Mrudie huyo alikuwa anatest zali
 
alafu mwajua nyie vijana saa nyingine mnawalaumu wanawake bure tuuu....haya mambo yote sii yapo mikononi mwako. tena sie wanaume tumependelewa sana unachagua mwenyewe demu gani wakuwa na mahusiano nae, unlike ladies mpaka watongozwe. sasa first of all know what u want in a lady na ndio utaweza kupata mwanamke unaeendana nae. sasa kama wewe upo kama mzabzab i.e kugegeda basi wee jichukulie demu gonga then sepa. wanawake wapo wa aina nyingi kitabia so wewe ni uchaguzi wako...dnt blame her ndivyo alivyo na huwe mbadilisha. poor judgement yako ndio imekuingiza huko.
 
Upo naye katika uhusiano, siku moja mnagombana , anakuandikia msg au anakupigia simu , "usinipigie simu wala kunitumia meseji zako tena and all that, futa namba yangu ya simu na mimi nafuta yako." ( ANAPIGA BONGE LA MKWARA ), then mtu mzima unapiga kimya, baada ya siku tatu, anakutumia meseji " Honey, a miss u alot jamani utakuwa free saa ngapi? mi nimeshajiandaa tayari nasubiri tu sms yako, nichukue gari nije ..Love u so much hun mwaah". Mtu mzima unapiga kimya, hauijibu hiyo meseji.. Baada ya dakika tano hivi,. Anakutumia meseji nyingine anasema " Samahani hiyo meseji imekuja kwako kimakosa ". Mtu mzima unapiga kimya. Baada ya dakika thelathini anakupigia simu, haupokei, missed call zinafika saba....Dakika kumi na tano baadaye anakuandikia meseji huku akitaja jina lako tena kwa ufupi. Hi ( Jina lako ), leo tunaweza kuonana? mcn u a lot my dear!

Masista du acheni utoto na mapenzi ya kitamthiliya, huyu ndo amesha mwagwa hivyo, zile zama za kunyenyekea papuchi zimekwisha pitwa na wakati...

Umenifurahisha sana LIKUD ,hata mimi imewahi kunitokea, tena unakuta ameshika namba yako kwa kichwa kama table ya kwanza lakini anakwambia anafuta namba yako sasa sijui anaifuta kichwani mwake!! ndio maana tumeambiwa tukae na hawa wanawake kwa akili, Yeye aliyewaumba aliwajua vizuri sana na akawapa jina Hawa.
 
Last edited by a moderator:
kuwa masista du wote ndio walivyo,hiyo inatokea sana kwa mabinti
 
Upo naye katika uhusiano, siku moja mnagombana , anakuandikia msg au anakupigia simu , "usinipigie simu wala kunitumia meseji zako tena and all that, futa namba yangu ya simu na mimi nafuta yako." ( ANAPIGA BONGE LA MKWARA ), then mtu mzima unapiga kimya, baada ya siku tatu, anakutumia meseji " Honey, a miss u alot jamani utakuwa free saa ngapi? mi nimeshajiandaa tayari nasubiri tu sms yako, nichukue gari nije ..Love u so much hun mwaah". Mtu mzima unapiga kimya, hauijibu hiyo meseji.. Baada ya dakika tano hivi,. Anakutumia meseji nyingine anasema " Samahani hiyo meseji imekuja kwako kimakosa ". Mtu mzima unapiga kimya. Baada ya dakika thelathini anakupigia simu, haupokei, missed call zinafika saba....Dakika kumi na tano baadaye anakuandikia meseji huku akitaja jina lako tena kwa ufupi. Hi ( Jina lako ), leo tunaweza kuonana? mcn u a lot my dear!

Masista du acheni utoto na mapenzi ya kitamthiliya, huyu ndo amesha mwagwa hivyo, zile zama za kunyenyekea papuchi zimekwisha pitwa na wakati...

Napendekeza huyu bint asamehewe
 
Hao unaowaita masista du, wengi wao wamejaribu kuiga yale mambo ya WAKINA KARDASHIAN KWENYE LUNINGA ; matokeo yake wengi wao wameachwa kwa ujinga wao!! Mambo ya tamthilia ni tamthilia tu sio ukweli nyie mburula!!
 
mwanamke akisema YES anamaanisha NO. mwanamke akisema NO anamaanisha YES.
 
Upo naye katika uhusiano,
siku moja mnagombana , anakuandikia msg au anakupigia simu ,
"usinipigie simu wala kunitumia meseji zako tena and all that,
futa namba yangu ya simu na mimi nafuta yako." ( ANAPIGA BONGE
LA MKWARA ), then mtu mzima unapiga kimya, baada ya siku tatu,
anakutumia meseji " Honey, a miss u alot jamani utakuwa free saa
ngapi? mi nimeshajiandaa tayari nasubiri tu sms yako, nichukue
gari nije ..Love u so much hun mwaah". Mtu mzima unapiga kimya,
hauijibu hiyo meseji.. Baada ya dakika tano hivi,. Anakutumia
meseji nyingine anasema " Samahani hiyo meseji imekuja kwako
kimakosa ". Mtu mzima unapiga kimya. Baada ya dakika thelathini
anakupigia simu, haupokei, missed call zinafika saba....Dakika
kumi na tano baadaye anakuandikia meseji huku akitaja jina lako
tena kwa ufupi. Hi ( Jina lako ), leo tunaweza kuonana? mcn u a
lot my dear!

Masista du acheni utoto na mapenzi ya kitamthiliya, huyu ndo
amesha mwagwa hivyo, zile zama za kunyenyekea papuchi zimekwisha
pitwa na wakati...

Hahahahaha! Umenifurahisha sana
 
Ahaaaaaa kumbe ndo style yao, hta me ishagantokea nkawa nakula kimya had akachoka mwenyewe!
 
Upo naye katika uhusiano, siku moja mnagombana , anakuandikia msg au anakupigia simu , "usinipigie simu wala kunitumia meseji zako tena and all that, futa namba yangu ya simu na mimi nafuta yako." ( ANAPIGA BONGE LA MKWARA ), then mtu mzima unapiga kimya, baada ya siku tatu, anakutumia meseji " Honey, a miss u alot jamani utakuwa free saa ngapi? mi nimeshajiandaa tayari nasubiri tu sms yako, nichukue gari nije ..Love u so much hun mwaah". Mtu mzima unapiga kimya, hauijibu hiyo meseji.. Baada ya dakika tano hivi,. Anakutumia meseji nyingine anasema " Samahani hiyo meseji imekuja kwako kimakosa ". Mtu mzima unapiga kimya. Baada ya dakika thelathini anakupigia simu, haupokei, missed call zinafika saba....Dakika kumi na tano baadaye anakuandikia meseji huku akitaja jina lako tena kwa ufupi. Hi ( Jina lako )duh huyo dada ni noma.
 
Ilinitokea mimi alipotuma msg nikamjibu samahani wewe ni nani maana namba yako sina,hakutuma msg tena,mwezi sasa!!!
 
Yeah! It happened to me once.... Kumbe aliosema wanawake mwalimu wao mmoja tena kipofu hakukosea eeeeh
 
Ni kweli kabisa sikuizi hatunyenyekei mbunye

"To know the enemy is half the victory"
 
Back
Top Bottom