Merry Christmas

Ulimbo

JF-Expert Member
Aug 14, 2009
3,428
2,000
Wana JF, salaamu,
Hiki ni kipindi ambacho tunaelekea mwishoni mwa mwaka 2013 na kukaribia mwaka 2014.

Najivunia kuwa mwanachama wa JF, na ni mengi nimejifunza toka kwa wanachama wengine.

Yatosha tu niseme kuwa ninawatakia heri ya krismas na mwaka mpya wenye Baraka na mafanikio. MUNGU AWABARIKI.
:pray::pray:
“Merry Christmas to you and your loved ones, not only on Christmas, but through out the year and beyond. Have a successful New Year”.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom