Kubwajinga
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,193
- 299
Mwanakijiji,
Pinda hatakiwi kudanganyika, akishadanganywa ni makosa yake kukubali kudanganyika.Ukiwa PM kabla ya kuchukua ushauri wowote unatakiwa uufanyie uchunguzi kwa sababu ukiukubali na kuufanyia kazi una u own, ukiboronga hakuna utetezi katika kusema "nilishauriwa vibaya" kwa sababu wewe ndiye mwenye uamuzi wa mwisho, kukubali ama kukataa, kusuka ama kunyoa.
Let's say for example, when all this stuff was going down, Pinda was a mere backbencher who knew nothing at all about the shenanigans of the higher echelons of CCM, and now he is merely being used as a firefighter, which seems to be part of the defence here. Pinda is still responsible for either knowingly misleading the public or for letting himself being misled.My gues is he is knowingly misleading the public while cultivating an image of a PM who is misled and between the rock and the hard place, the devil and the deep blue sea.he is still very much responsible for uttering these untruths.
Mawaziri wakuu wa Japan wamejiuzulu for lesser transgressions.
Vile vile mkubwa anapopewa ushauri mzuri akaufanyia kazi, sifa huwa haziendi kwa washauri wake.
Sasa mbona tuko rahisi sana kuwasifu wakubwa wakifanya vizuri (hatusemi wamefanikishwa kwa ushauri mzuri tu, na hata tukisema hivyo tutakuwa tunapoint hiyo kama merit kwamba wanajua kuchagua washauri) lakini tuko wagumu sana kukubali kuwa kiongozi akikosea, hata kwa kushauriwa vibaya, makosa na responsibility ya mwisho ni ya kiongozi mwenyewe?
Concept ya "collective responsibility" inataka kila kiongozi akipewa ushauri autafiti, akishaukubali unakuwa ushauri / policy/ stand ya wote (yeye pamoja na washauri wake),tusitake kumpa a free pass eti kwa sababu "kashauriwa vibaya".
Mkuu nilitaka kujibiwa na Kubwajinga, sasa naona wewe umeamua kumjibia safi sana, sasa umeilewa hii hoja ya the subject hapo juu kuhusu maneno yangu kuwa tuache unafiki? maana hata maana hata yeye the subject amenielewa, je wewe vipi unanielewa?
Kwa sababu kama ninaielewa point yako ni kwamba wananchi wakichoka na viongzi wa ccm ni sawa kuwatukana, lakini hawawezi kuchoka na wa upinzani? au?
Kwamba Zitto Hajatukanwa Mahali! Hii Ni Jf Na Ni Kijiwe Chetu Where We Dare To Speak? Mimi Pia Ni A Natural Born Politician! Niko Fine Tu.
mag3 FOR PRESIDENT..KWI KWI KWI.
Uncle si utani mi huzimia sana michango yako!
Pundit,
Nakubaliana na wewe kabisaa mkuu. Kwa kelele zilivyokuwa nyingi juu ya Meremeta n.k., mtu huwezi kuchukua ushauri mmoja au miwili na kuingia nayo bungeni unless uwe kihiyo. Lakini kwa mwanasheria ambaye sio tu ameshatumikia serikali kwa muda mrefu na kuelewa mapungufu ya watendaji wake, alitakiwa alielewe hilo na kuliepuka. Hapa nina uhakika kabisa ameshafahamu undani wa Meremeta na amekubaliana na wengine kuwa tu atuweke sawa.
Zitto, achana na urafiki wenu na Pinda. Fanya kazi tuliyokutuma wananchi bila kumuonea mtu aibu.
Sijamjibia kubwajinga ambae nimemwita kaka K. Nimemwambia asome upya post yako kwani kuna hoja kuhusiana na 'matusi' ya mmoja wetu hapa na kinachofuatia kutoka kwa wana JF.
Nani kawaambia nina urafiki na Pinda? Pia mkumbuke sisi kwa sasa ni political class!
Mkuu tunasubiria Jumatatu, naona mvua ya mawe itanyesha huko bungeni, safi sana ndivyo tunavyotaka hata wawe wajanja kiasi gani tunajua kuwa wanakosa usingizi tena sana,
maana juzi mmojawapo wa hao mafisadi alimbembeleza sana mama kilango, ampe masaa matatu ya kumuelezea jinsi asivyohusika na ufisadi ila anaonewa tu, it works ingawa sio kwa mwendo tunaoutaka
Ndo maana nimesema Jumatatu jamani....... Nani kawaambia nina urafiki na Pinda? Pia mkumbuke sisi kwa sasa ni political class! In a context pls
Huyu mkulu naye si inasemekana alikuwa na dili la kuuza mafuta ya jeshi Morogoro na yule muarabu(jina limenitoka)...Alivyostaafu akapewa kuongoza Meremeta, baada ya muda mfupi "ikafilisika"...kuna kazi hapa!!!
Mkuu Zitto,
Kila nikiisoma ile hotuba yako ya kukubali uteuzi wake Pinda, haiachi kunionyesha dalili za wewe kukubaliana naye kiurahisi kwenye mambo anayofanya, hata baada ya kuwa PM. Mimi bado nampa Pinda nafasi ya kubadilisha alichosema, lakini ukiniambia kuwa amedanganywa hapo siwezi kukubaliana na wewe kabisaa.
Ushauri wangu ni kuwa; jaribu kwa kila uwezavyo u-muonyeshe kuwa imani yetu kwake Pinda, inatoweka kwa yeye kutupa majibu ya Lowassa wakati tulishamng'oa. Anything less than strong condemnation, itakuingiza na wewe kwenye kundi la waliolainishwa.
It works......mmoja kanifuata kunieleza alivyoshiriki Import Support na kwamba sio fisadi. mwingine yeye ni ushiriki wa baba yake lakini inamsumbua sana maana wanashare jina na marehemu baba. Tunachofanya sasa kina matunda mema kwa nchi. Unadhani kutakuwa na EPA tena in the near future?
Tena nilisahau....... kuna ka EPA kapya.....kama bilioni 8 hivi, akaunti ile ile
It works......mmoja kanifuata kunieleza alivyoshiriki Import Support na kwamba sio fisadi. mwingine yeye ni ushiriki wa baba yake lakini inamsumbua sana maana wanashare jina na marehemu baba. Tunachofanya sasa kina matunda mema kwa nchi. Unadhani kutakuwa na EPA tena in the near future?
It works......mmoja kanifuata kunieleza alivyoshiriki Import Support na kwamba sio fisadi. mwingine yeye ni ushiriki wa baba yake lakini inamsumbua sana maana wanashare jina na marehemu baba. Tunachofanya sasa kina matunda mema kwa nchi. Unadhani kutakuwa na EPA tena in the near future?
Tena nilisahau....... kuna ka EPA kapya.....kama bilioni 8 hivi, akaunti ile ile