Meremeta Report: Released to the Public (Revised & Free!)

Baada ya kujua ni lazima kufanya maamuzi haraka sana na kuona kuwa Nchi yetu inapelekwa kwenye hali nzuri sana na kuona kuwa matunda na rasilimali za taifa hili zinatumika kwa faida ya Watanzania na kuliko hivi sasa. Kuna haja ya kufanya mabadiliko haraka sana
 
Tulipofika naamini ni pagumu zaidi kuliko tulikotoka. Ripoti hii imepokelewa zaidi ya matarajio yangu. Sasa hivi kinachoendelea ni kulirudisha suala la Meremeta Bungeni na watu wangeacha kutoa shukrani na kutuunga mkono kufanikisha hilo ingekuwa bora zaidi.
 
Baada ya kujua ni lazima kufanya maamuzi haraka sana na kuona kuwa Nchi yetu inapelekwa kwenye hali nzuri sana na kuona kuwa matunda na rasilimali za taifa hili zinatumika kwa faida ya Watanzania na kuliko hivi sasa. Kuna haja ya kufanya mabadiliko haraka sana
Ni kweli.Haya mambo yanatia aibu kwasababu wahusika ndio team captains wetu. Naamini sasa uongozi wa nchi una kila sababu ya kujipanga upya kuondoa loopholes zenye kuweza kufanya mambo haya yakajirudia.Tusipoziba ufa, ipo siku tutajenga kuta
 
Mkuu MMKJJ, Asante sana. Du nilitamani sana niipate maana nilikuwa nje ya net kwa wiki kadhaa hvi!!! Ngoja niipitie ndipo nije kukata issues!!!
 
Tulipofika naamini ni pagumu zaidi kuliko tulikotoka. Ripoti hii imepokelewa zaidi ya matarajio yangu. Sasa hivi kinachoendelea ni kulirudisha suala la Meremeta Bungeni na watu wangeacha kutoa shukrani na kutuunga mkono kufanikisha hilo ingekuwa bora zaidi.

MM watu wanapokushukuru, pia wanatafakari mbinu zipi watumie kuitimiza hiyo haja ya kulirudisha bungeni. Nina imani hata wale wanaoendelea kuisambaza kwa wapiga kura na hata wasiopiga kura lakini wapo majimboni wanaweza kuwasukuma wapiganaji wa kweli kule mjengoni kulivalia njuga. Pengine hata taasisi nyingine zitalichukua hili kwa uzito wake. Hii ni kazi ya kishujaa na hatuwezi kuacha kukupongeza wewe na wenzio.

Leo tunashangaa tukiona wale wafadhili ambao siku za nyuma walikuwa wakipaza sauti kudai serikali ijisafishe wamekaa kimya!! Yote ni kiini macho tu, baadhi yao ni wanufaika wa mienendo hii mibaya ya wakuu wetu. Jeshi linapokuwa sehemu ya uharamia huu...hili ni letu! Jambo Litaitwa majina yote ili tuamini wanatujali "usalama wa taifa" lakini ukweli ni kuwa ukimya wa jeshi "letu" katika mambo haya mazito yanayoendelea ni ishara tosha kuwa jeshi si letu. Linalinda maslahi ya wengine kwa kutumia uwepo wetu
 
Mkuu M.M Mwanakijiji,hii kitu imetulia.naisoma kwa taratibu na kutafakuri kwa utuvu wa hali ya juu kabisa.
Maana hili suala/jambo si la kwenda mbio kama kasuku.

Ngoja tuimalize kuisoma mkuu,tutarudi na maswali mengi na tafakuri zaidi

Bravo,bravo,

Salute M Mjj
 
Katika kuendeleza what Mkjj ameanzisha, here is the latest kuhusu huyu "arms dealear" ambaye amekamatwa huko Thailand. Thai Court itamwachilia kurudi kwao unless something major happens.


BANGKOK – A Thai court Tuesday rejected a U.S. request to extradite an alleged Russian arms smuggler dubbed the "Merchant of Death," dealing a setback to American efforts to try him on charges of plotting to supply weapons to Colombian rebels.

Viktor Bout, 42, was arrested in March 2008 at a luxury hotel in Bangkok as part of an elaborate sting in which U.S. agents posed as arms buyers for the Revolutionary Armed Forces of Colombia, or FARC, which Washington classifies as a terrorist organization. He is being held in a Bangkok prison, but could be set free if no appeal is filed.

"We will not extradite him to the United States," said Judge Chittakorn Pattanasiri, of the Bangkok Criminal Court.

Chittakorn said the court rejected the extradition request because Bout had not been accused of committing any crimes against Thailand, which has not listed FARC as a terrorist group.

Bout, dressed in an orange prison uniform, jumped up from his seat and hugged his crying wife as the ruling was read out. He then flashed a victory sign to TV cameras as he was led out of the courtroom.

The judge said Thai prosecutors have 72 hours to indicate whether they will appeal the ruling, and, if not, Bout will be set free.

If an appeal is filed, Bout will be held pending further proceedings.

U.S. Embassy deputy chief of mission James F. Entwistle said Thai prosecutors have said they will appeal the case and that Washington supports that.

"We're disappointed and mystified by this lower court ruling," Entwistle said. "We think the facts, relevant Thai law, and the terms of the bilateral extradition treaty clearly supports the extradition of Viktor Bout to the United States to stand trial on serious terrorism charges."

Russian Embassy official Andrey V. Dvornikov said Moscow was "satisfied" with the court's decision but that Bout was not yet free.

"This case will be over when Mr. Bout is home," he said.

Bout has been linked to some of the world's most notorious conflicts, allegedly supplying arms to former Liberian dictator Charles Taylor and Libyan leader Moammar Gadhafi. He has repeatedly denied the accusations.

The U.S. is seeking Bout's extradition on charges he conspired to sell millions of dollars worth of weapons to FARC, including more than 700 surface-to-air missiles, thousands of guns, high-tech helicopters and airplanes outfitted with grenade launchers and missiles. He has been indicted on four terrorism-related charges in New York and could face life in prison.

Bout's wife Alla told the Russian news agency ITAR-Tass on Monday that she was hopeful her husband would be released, saying prosecutors had offered no evidence of his guilt.

"If the court is impartial and turns an attentive ear to the defense, there will be no extradition," she said. "If the U.S. request is sustained, we shall file an appeal."

Hearings on his extradition began in June 2008 and have been delayed by absent witnesses and sick defense attorneys.

Bout claimed in court that he ran a legitimate air cargo business and was in Bangkok to discuss selling airplanes to Thai businessmen.

Bout, a beefy, former Soviet air force officer, has denied any involvement in illicit activities and has never been tried, although he has been the subject of U.N. sanctions, a Belgian money-laundering indictment and an assets freeze by the U.S.

His nickname, the "Merchant of Death," came in 2000 from a minister at Britain's Foreign Office, Peter Hain, who was concerned about Bout allegedly ferrying weapons around Africa. The name was adopted for the title of a 2007 book about the Russian by two U.S. journalists. Bout is also widely believed to be a model for the arms dealer portrayed by Nicholas Cage in the 2005 movie "Lord of War."

Bout had called the Thai hearing "theater." He said he was the victim of an American frame-up and that the United States had pressured the Thais to rule in their favor. American lawmakers in turn have accused Russia of trying to derail the hearing so that Bout can return home.

In the court's final hearing in May, a Thai Foreign Ministry official concluded the extradition request met the conditions of the Thai-American extradition treaty.

Source:
Yahoo.com
 
Mzee tunashukuru sana kwa kutufikiria na kupost hii ndude. Ngoja tuipitie tupandishe hasira. Keep on feeding us anything good for the betterment of our beloved country.God bless Tanzania and people like Mzee, Amen.
 
sijui wangapi ambao wameisoma hii ripoti bado wataipigia kura CCM!
ungeitoa hii ''baada ya wao kutoa kofia na bahasha'' at least wasinge isahau mpaka muda wa kura utakapokaribia!poor tanzanians

watayumbishwa na kofia,tisheti,skafu,kanga n.k!

hata hivyo ninaamini this is just the beginning.there is still much more to come from ''ka-nzi''

hahahahaha!

I BELIEVE IN CHANGES
 
Tulipofika naamini ni pagumu zaidi kuliko tulikotoka. Ripoti hii imepokelewa zaidi ya matarajio yangu. Sasa hivi kinachoendelea ni kulirudisha suala la Meremeta Bungeni na watu wangeacha kutoa shukrani na kutuunga mkono kufanikisha hilo ingekuwa bora zaidi.

Mkuu Bungeni ndo hivyo tena kumbuka ilisemwa "...hata nikisulubiwa sisemi...", naona inabidi kuwe na alternative appraoch to that. Motion hii kwa vyovyote itabidi iletwe na minority opposition hata hivyo with the majority in the house ni rahisi sana kupinga chenga motion yoyote itakayokuja.
 
Mkuu Bungeni ndo hivyo tena kumbuka ilisemwa "...hata nikisulubiwa sisemi...", naona inabidi kuwe na alternative appraoch to that. Motion hii kwa vyovyote itabidi iletwe na minority opposition hata hivyo with the majority in the house ni rahisi sana kupinga chenga motion yoyote itakayokuja.

Ohh ni kupiga chenga sorry
 
Quote:


Mkuu Bungeni ndo hivyo tena kumbuka ilisemwa "...hata nikisulubiwa sisemi...", naona inabidi kuwe na alternative appraoch to that. Motion hii kwa vyovyote itabidi iletwe na minority opposition hata hivyo with the majority in the house ni rahisi sana kupinga chenga motion yoyote itakayokuja.
Sorry wakiipiga chenga kama kawaida inapelekwa kwa wananchi na hapo ndipo game itaanza upyaaaaa
 
Mwanakijiji hatimaye maombi yangu yamejibiwa
tunapata document muruwa ya kuwakandamiza watu fulani wakati wa uchaguzi ukiwadia.
thanx a big bro
 
Mimi bado sijajiandisha katika daftari la kupiga kura, ninapatwa na kigugumizi juu ya hilo kwa sababu ya wizi wa ccm katika zoezi zima la kura. hivyo naona hata nikijiandisha nikapigia chama kingine bado sisiemu watapita kwa wizi wao. nikiona upinzani wamekaa vizuri nitajiandisha na kuwapa kura yangu kuliko hawa mafisadi.
 
Asante MMK kwa ripoti nzuri, ila ina mtazamo wa ki"conspiracy theory" zaidi kuliko factual labda hizo habari mlizozizuia zinaweza kutoa majibu ya maswali mengi ambayo hayana majibu ya moja kwa moja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom