Swali kwako: Kama hii kazi ingefanywa na timu au kamati inayolipiwa na walipa kodi unafikiri ingegarimu kiasi gani? Unafikiri kweli ripoti nzito ya namna hii nani anailipia au mimi nina kisima cha utajiri wa kugharimia haya yote kwa vile nina nini ambacho wengine hawana na mimi ni mtoto wa maskini kama wengine tu?
I dont think it is understandable! Hivi mmeona picha za Dowans HQ kule Costa Rica hivi unafikiri kanzi kanasafiri kwa ungo?
kweli ukinitaka nicharge kwa kila info ambayo napata nafasi ya kutoa kweli tutafika?
Wandugu.. ni watu 100 tu wanaweza kuchangia gharama ya haya. Mnataka itoke bure ili kiwe nini? Na hao waliotumia masaa kibao kufanya na kufuatilia habari ambazo zinatosha kabisa "kuitwa kufichua siri za serikali" kikiwaungulia mtawalipia wanasheria? au mtasema wajitolee kwa sababu ni kazi ya kujitolea?
tricky tricky... channels za UwT wanataka nakala ya ripoti hii ASAP... kwamba kuna "kazi" wangetaka waifanyie.. well the law of unintended consequences... je wachangie.. wapewe bure... wapatiwe waipitia kabla ya kuirusha.. total dilemma..!
mmh! yes, we are there... it was predictable. So, i do hope you had an answer since then.
tricky tricky... channels za UwT wanataka nakala ya ripoti hii ASAP... kwamba kuna "kazi" wangetaka waifanyie.. well the law of unintended consequences... je wachangie.. wapewe bure... wapatiwe waipitia kabla ya kuirusha.. total dilemma..!
Ushauri wangu wa ziada ni kuwa, pamoja na kuwa titachangia kwa hiyo $ 30 lakini ukishatutumia tu hiyo Jumatano, ibandike pia hapa JF kila mtu aione.
Kama noma na iwe noma tu . . . .
it won't be fair kwa wale waliochangia.. kutokea humu itachukua muda kidogo!
wewe huwezi kutoa......utaharibu ratiba yaa jolly na massage parlour......Ufisadi mwingine huo, haina chochote hiyo ripoti na wengine hatupo redi kukutafutia dola salasini salasini za kututapeli, nini cha maana sana hata tukinunuwe kwa bei hiyo? wacha ufisadi!
UWT = ???? Umoja wa Wanawake Tanzania? au kuna nyingine tena?
Mtoto utakua tu taratibu, fikiria kirefu kingine hasa ukihusisha na wanausalama.
kila mtu ni mtoto kwa ndani - au sio?
UWT = Ulinzi wa Taifa?
UWT=USALAMA WA TAIFA. (katika muktadha huu)
sasa usiniulize kama huo usalama upo au la......😕
Kwa nini wasiandae ya kwao?tricky tricky... channels za UwT wanataka nakala ya ripoti hii ASAP... kwamba kuna "kazi" wangetaka waifanyie.. well the law of unintended consequences... je wachangie.. wapewe bure... wapatiwe waipitia kabla ya kuirusha.. total dilemma..!