HujaelewaHe is already married
Umelishwa kinyama ww ndio sababu huwezi ona zaidi ya urefu wa pua yako.Tatizo ni nini kijana mwenzangu?
Ni kheri wageuzwe misukule na wafanikiwe kuliko kuwa akili na chuki za kimaskini kama we we.
Pathetic looser!! Jifunze kuandika kwanzaNikiambiwa nichague kufungwa jiwe la kilo 100 na kutumbukizwa ziwani au kuwa na wivu wa malendeleo au roho ya "kaa" nitachagua kufungwa jiwe na nitumbukizwe ziwani maana ipo njia ya kujinasua, roho mbaya kama yako ni hatari sana.
Inatia huruma sana kuona vijana wakigeuzwa misukule na mirija ya kunufaisha wengine..kwanini unawanyima vijana haki yao ya kutumia akili na nguvu zao za ujanani kutafuta mali na badala yake kuwaaminisha kuwa pesa zinapatikana kwa kuweka miguu mezani na bando la internet...hii ni DHAMBI KUBWA SANA!!
Kijana inabidi UTUBU..wenzetu wanahangaika kuzalisha tangible entrepreneurs wenye biashara zinazoekeweka huku vijana wamegeuzwa misukule na uyu dogo bila kujua..
Aisee TUBUNI iyo dhambi mapema..maana kuna misukule itazeeka inatafuta mali kwenye internet kuja kustuka uko 50's uwezi ata sukuma toroli. TUBUNI HII DHAMBI
You made my day mzeeInatia huruma sana kuona vijana wakigeuzwa misukule na mirija ya kunufaisha wengine..kwanini unawanyima vijana haki yao ya kutumia akili na nguvu zao za ujanani kutafuta mali na badala yake kuwaaminisha kuwa pesa zinapatikana kwa kuweka miguu mezani na bando la internet...hii ni DHAMBI KUBWA SANA!!
Kijana inabidi UTUBU..wenzetu wanahangaika kuzalisha tangible entrepreneurs wenye biashara zinazoekeweka huku vijana wamegeuzwa misukule na uyu dogo bila kujua..
Aisee TUBUNI iyo dhambi mapema..maana kuna misukule itazeeka inatafuta mali kwenye internet kuja kustuka uko 50's uwezi ata sukuma toroli. TUBUNI HII DHAMBI
Nahitaji vitabu vya aina hii mkuu, naweza kuvipataje mkuu?
The world belongs to people who read.
Yaan nimechekaaHuyu jamaa anapenda mno kudanganya watu mara ya kwanza ulianza na uongo wa FOREX bado kidogo utaanzisha tuition zako zile za kuzunguka TZ nzima kufundisha watu Ku print nyumba na gari
Hii kitu ipo kweli mkuu.. Jaribu kufuatilia vizuri tuUongo mkubwa uliowahi kuongea ww bwana Ontario ni kua "Eti kuna machine ya 3D inayatumika kuprint nyumba, so baada ya miaka kama 20 watu watakua wanafyatua nyumba kwenye mashine"
-Tera La Vista