Mentor utaoa lini...



Je hiki unachokisema ni cha kweli kimekutokea?? au umecopy mahali? yani ninatetemeka ninaposoma hili
 
Pole sana mkuu si kila king'aacho ni dhahabu lakini mm nahisi madawa yake hayakufanya kazi na ndo maana uliweza kuelewa kile alichokufanyia ndugu madawa yake yangekuwa yamefanya kazi ungekuwa mpole tena ungeanza kuomba msamaha kwa kushika simu yake na mpka leo ungekuwa naye angekuwa anakuendesha apendavyo.
 
Mentor kumbe walikuwa wanakuboost,
Duh umenifanya niwe scared duh hawa wanawake wengi wao wanaboost

hahahahahahahahahah hapo pekundu nimejikuta nacheka sana, kuna catalyst inatumiwa eeehh kuspeed up the chemical reaction, All in all ni kudanganyana tu, we mtu anakwambia anatoa dawa ya mapenzi au ndoa wakati watoto wake mwenyewe wapo wamezalishwa nyumbani na hakuna ndoa.....mimi ninaamini huyu dada alipendwa kweli sema tu hakujiamini kwani ingekuwa uganga unampa mtu mume kweli basi asingekamatika, mara nyingi hizi ni short cut za shetani ambazo watu hawatafakari kabla ya kuzitekeleza
 
rafiki umekuwa siku hizi....................ila umenipotezeaje best??
love you
 

Sijawahi kukupatia like yangu lakini hapa umenena Nicas Mtei, ukweli kwenye maombi hatupaswi kukata tamaa, nina ushuhuda wa mtu aliomba since 2004 amekuja kujibiwa mwaka 2012 tena kwa kishindo, na waliomzunguka wote wameshangaa. IPO SIRI KUBWA KATIKA MAOMBI.
 
Last edited by a moderator:
rafiki umekuwa siku hizi....................ila umenipotezeaje best??
love you
Jaman wewe bestito, nilikuwa sijakua huko nyuma? mie nipo tu full kukimbizana na maisha na kupingana na shetani kwa nguvu zote....pray 4 me.....

I love u toooooooo, mwaaaaaaahh
 

Hahaha, may be it works ndiyo maana wanapelekana ku boost watu. ila nayeye huyo dada wa ajabu mentor alimpenda kabla hajamboost sasa sijui aliona mentor atabadili mawazo akaamua awahishe reaction
 
Hahaha, may be it works ndiyo maana wanapelekana ku boost watu. ila nayeye huyo dada wa ajabu mentor alimpenda kabla hajamboost sasa sijui aliona mentor atabadili mawazo akaamua awahishe reaction

Njia pekee ya nyie wanaume kuepukana na haya ni kumng'ang'ania Mungu na kulishika neno lake, la sivyo shetani ameamua kuwatumia wanawake waliokubali kutumiwa nae ili kuwapotezea nyie muelekeo wa kufanya maamuzi sahihi ya kumpata mwenza wa kweli kutoka kwa Mungu. Sasa kazi kwenu kujipanga kwa maombi.
 
kwa Mungu kila kitu kinawezekana!so uombe sana Mungu,unless ni majanga
 

Twende tufanyiwe maombi, lakini mimi si boostic aisee.
 
🙁 my sympathies with u mentor....but i was wondering, we mpaka mtu hataki ushike simu yake hushtuki tuu? Hii mambo ya 'we trust eachother' is on the 'bullshitiest' on my 'bullshit metre'. My advice, taking in account the context ur story, incase u decide kutafuta a wife, let everything be in the open. Sometimes kumfuatilia ur mpenzi doesnt mean u dont trust her, just that u know shes imperfect so u wana make sure shes doing ok! *wink*

plus, kulala kwenye makaburi?? That demu is something else
 
Twende tufanyiwe maombi, lakini mimi si boostic aisee.

Hahaha kuna mganga mmoja aliokoka akawa anatoa ushuhuda kwamba 80%ya wateja wake ni wadada, na kati ya hawa wadada 90% wanaenda kwa matatizo ya kimapenzi na ku boost ndoa.... sasa ndo upime maji na unga kama kuna kupona hapo! na nyie mmezidi wadada tunajitahidi sana kuwapenda nyie kwa moyo lakini wapi hampendeki sasa shetani akipenyeza ndo unakuta majanga kama haya ya kuendewa kwa babu na mwisho mtalishwa hadi mikojo ya mbwa shauri yenu.

Jipange upya asee, kama huna Yesu watakukamata tu muda wako haujafika. Kwanza hata utamjua basi mwanamke anayeenda huko? kwani atakwambia kwamba anaenda? ajionae amesimama aangalie asije kuanguka. yangu ni hayo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…