Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,525
- 235,264
Hakuna kutoka
Mimi sijaona gram 20
Irudiwe
Vinginevyo tutalianzisha na boss wetu
Mimi sijaona gram 20
Irudiwe
Vinginevyo tutalianzisha na boss wetu
Nimeona 😂😂😂😂
Dada Shunie nimeona kupitia comment ya dee aliyokwoti 😍😍😍😍
Hiyo rangi ya Dubenga kabisaa!!
Hivi kumbe ni chuma hivi?? Nyie Mungu anaumba jamani, ntaliaaaaaaaaaa mimi!!
Sasa nishajua kwann hubabaishwi kumbe unaringia uzuri 😂😂😂😂
Aifoni lazima inunuliwe😂😂😂😂😂😂😂 Wapambe mko wima wima
Wana niniii [emoji1787][emoji1787]
Nkamu vayolensi hizi sasa 😂😂😂😂Tusio na Macho matatu tunapita kinyooonge
Wacha tulete selfie za Itel
Mtatukoma🔥
Umeanza ujinga wako 😂😂😂Usifute
Watu wa itel bado hatujamliza kuiangalia
Kwanza picha iliyonipita irudiwe
Vinginevyo watu wa iphone siwaachi salama
Kaa kaaa mpaka jioni bana [emoji1787][emoji23] tukihama hapa, tunahamia makapuku
Kaa kaaa mpaka jioni bana [emoji1787][emoji23] tukihama hapa, tunahamia makapuku
Nishaona 😂😂😂😂Nimefuta 😂
Tunarudi kujibu mapigo kwa kishindo kama awamu ya Tano🔥Umeanza ujinga wako 😂😂😂
Dada Shunie nimeona kupitia comment ya dee aliyokwoti [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Hiyo rangi ya Dubenga kabisaa!!
Hivi kumbe ni chuma hivi?? Nyie Mungu anaumba jamani, ntaliaaaaaaaaaa mimi!!
Sasa nishajua kwann hubabaishwi kumbe unaringia uzuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unamng’ata boss wako
Kina mandonga 😂😂😂Nilikua nashangaa uzi unatoka nduki kumbe Kuna watu kazi humu
Hakuna kutoka
Mimi sijaona gram 20
Irudiwe
Vinginevyo tutalianzisha na boss wetu
Nimeona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umesimama dada ake uko on fire [emoji7][emoji7][emoji7]