Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,298
- 33,622
Mimi nipo swahiba 😀Hahahaa. Lol.
Nakusalimia Swahiba. 😀
Mimi nipo swahiba 😀Hahahaa. Lol.
Nakusalimia Swahiba. 😀
Tusio na pesa na tunajishaua ndio basi tenaHamna mtu anayeshindana hapa ila mashauzi yanahitaji pesa jamaniiii![]()
Tusio na pesa na tunajishaua ndio basi tena
Ila siyo mbaya
Iphone inakwenda kupatikana hata kwa kuforce

mjishaue lakini mjiangalie mara mbili mbili una niniiiiNimebold 🤣🤣🤣🤣mjishaue lakini mjiangalie mara mbili mbili una niniiii
Ana dhambiRangi mbili ya niniii
Tuna makapumjishaue lakini mjiangalie mara mbili mbili una niniiii
Ana dhambi
Anamaanisha kota za hereni za makopo
mtoto mbaya sana


ila Anne 
Tumekukosea nn 🤣Watu wa iphone siyo watu
Unamng’ong’a boss wako 😂😂😂Watu wa Itel tunasema haiwezekani
Tutajibu tu mapigo,ngoja boss wetu atimbe hapa


nilikuwa nafuta nishaanza kufuta maneno ndio maana huwezi kuquote halafu ujue huku umenileta wewe ebu nitoke nirudi zangu makapuku kwanguTutafika tu 🤣Nimecheka sanaaaaila Anne
![]()
Kaa kaaa mpaka jioni bana 🤣😂 tukihama hapa, tunahamia makapukuUna bahatiiinilikuwa nafuta nishaanza kufuta maneno ndio maana huwezi kuquote halafu ujue huku umenileta wewe ebu nitoke nirudi zangu makapuku kwangu
Dada Shunie nimeona kupitia comment ya dee aliyokwoti 😍😍😍😍Nakazia 🤣🤣🤣
Hapo ni 13 pro/ 14 pro.. sbb naiona fupi haina urefu wa PM
Ma PM mabaya
Ule urefu na uzito
😂😂😂😂😂 unamng’ata boss wakoMshahara wa Mwalimu wote umeuweka mezani🙌🏿