Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,551
- 95,150
😂😂😂😂 ulinichekesha raraa alivyosema sio mguu wa depal huu!! Ukajikana mara tatu km Petro alivyomkana Yesu dah!!Wala hata
😂😂😂😂 ulinichekesha raraa alivyosema sio mguu wa depal huu!! Ukajikana mara tatu km Petro alivyomkana Yesu dah!!Wala hata
😂😂😂😂 Wapambe mko wima wimaBasi hakikisha unatimiza ahadi🤣🤣🤣.
😂😂😂😂 Nkamu unayaweza khaaaaa!!Sijapenda
Ulishawahi katiza mpira?
Heri 1st ikupite, siyo 2nd half inayoamua mshindi
😂😂😂😂😂 Leo dada umenikalia kooni jamani!! Unataka nini lakini??Lamomy mdogo wangu na kwanini simu aifoni yaani uliwaza nini [emoji1787]
Nilijifikiria nimjibu. Nikaona nimwambie sijakuelewa 🤣🤣 jioni nikawaita😂😂😂 ulinichekesha raraa alivyosema sio mguu wa depal huu!! Ukajikana mara tatu km Petro alivyomkana Yesu dah!!
Kwakifupi ni kwamba😂😂😂😂😂 Leo dada umenikalia kooni jamani!! Unataka nini lakini??
😂😂😂😂 Ila nilicheka sana janaNilijifikiria nimjibu. Nikaona nimwambie sijakuelewa 🤣🤣 jioni nikawaita
Nakuja huku nakushangaa unaihadithia km ni umbea flani heavy, nikaona nikujibu
😂😂😂😂 Mweh jamani yashapitaKwakifupi ni kwamba
Uliushangaza ulimwengu 🤣🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Leo dada umenikalia kooni jamani!! Unataka nini lakini??
View attachment 2926958
Mdogo wangu sababu nakupenda sana [emoji1787][emoji1787] aifoni sio kitu ya kushindwa kujinunulia mwenyewe najiuliza uliwaza niniiii [emoji1787] ila hiyo sio aifone 12 pro
View attachment 2926958
Mdogo wangu sababu nakupenda sana [emoji1787][emoji1787] aifoni sio kitu ya kushindwa kujinunulia mwenyewe najiuliza uliwaza niniiii [emoji1787] ila hiyo sio aifone 12 pro
Nakazia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo ni 13 pro/ 14 pro.. sbb naiona fupi haina urefu wa PM
Ma PM mabaya
Ule urefu na uzito
Tusio na Macho matatu tunapita kinyooonge
Wacha tulete selfie za Itel
Mtatukoma[emoji91]
Burifooo 😍😍[emoji1787][emoji1787] hamna ni 14 promax me napenda kubwa kubwa sijui kwa sababu ni mshangazi picha ya mwanzo ilijikata View attachment 2926966
Najua mnatanianaHamna kipenzi pita unavyoweza tu tunataniana tu hapa
Usifute
😂😂😂 asiyekuwepo na lake halipo mahi
Burifooo [emoji7][emoji7]
Ah nilikuwaga na 12 PM
Niliitumia mwezi tu nikaenda kuibadili
Kubwa sana aisee [emoji23][emoji23]