Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Vidonge hivyoRangi mbili ya niniii
Watu wa Itel tunasema haiwezekani
😂😂😂 hamna banaDhambi mnazo nyie watu wa iPhone 😁
😂😂 ndio ndio.![]()
Liwalo na liweee![]()
Dada na macho matatu ila wala huringi🔥🔥🔥🔥🔥Ila Anne ujue una unafkiiiihalafu umeokoka wewe
Hahahaaa mbona siijui hiyo dawa jamanCloxacillin hizo
Sijui mwenyewe Depal anajua
Watu wa Itel tunasema haiwezekani
Tutajibu tu mapigo,ngoja boss wetu atimbe hapa

😂😂😂😂😂 anapulizaIla Anne ujue una unafkiiiihalafu umeokoka wewe
Hahahaaa mbona siijui hiyo dawa jaman
Achange misharaha ajispoil 🤣🤣🤣Mi simo
Kilio changu ahadi ya udugu itimizwe
Iphone haina google?
Dada na macho matatu ila wala huringi![]()