Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,226
😂😂😂 huna akiliHakuna kutoka
Mimi sijaona gram 20
Irudiwe
Vinginevyo tutalianzisha na boss wetu
😂😂😂 huna akiliHakuna kutoka
Mimi sijaona gram 20
Irudiwe
Vinginevyo tutalianzisha na boss wetu
Na hela
Tajiri kama wewe na udugu
Hii jf mabossledi mpo watatu tu![]()
Wanakiwasha balaa😄😄 tunapigwa ndoigeKina mandonga 😂😂😂
Wee hakuna cha simu ww ni mzuriiiiiiii mpk mzuriiiiiiii tena!!Hapana mdogo wangu simu hizo![]()
😂😂😂 wa petrol kabisaAnne ana moto wake
Watu wabaya
Mnafuta juu kwa juu
Wacha nipunguze maumivu na Cefalexin,sijui nitaweza 😒
Mimi pia ni Mwalimu😂😂😂😂😂 unamng’ata boss wako
Mfyuuuu 😂😂😂😂Watu wa Itel tunasema haiwezekani
Tutajibu tu mapigo,ngoja boss wetu atimbe hapa
Ni mzuri haswa, anavutia.Wee hakuna cha simu ww ni mzuriiiiiiii mpk mzuriiiiiiii tena!!
Ndiomana jeuri sana hubishani na vidampa 🤣🤣🤣🤣
Wazuri mna dharau sana
Poleni sana 🤣Mimi pia ni Mwalimu
Dada kaweka mshahara wetu wote mezani
Hii haikubaliki
Ila Anne wewe ni mkorofi sana😂Watu wa Itel tunasema haiwezekani
Tutajibu tu mapigo,ngoja boss wetu atimbe hapa
Khaaapanda juu nafuta
Khaaapanda juu nafuta
Khaaapanda juu nafuta
Nishaona
Sema sis Shunie kasimama chuma kweri kweri hapa ilikuwa lazima Sele ateme ndoano aiseee!! Halafu linaringa km halioni dis kumbe anaringia uzuri!!![]()

unafikiri sioni sasa naona vizuri tu nishavuka hizo drama mdogo wanguPale chuo tunamtoa Profesa nani wa kiswahili ili sisi tukae?Poleni sana 🤣
Nawaombea mimi mfike kuwa walimu wa chuo
😂😂😂😂 Mimi utajiri niutoe wapi zile ni kelele za Kantry tu..!!Na hela
Tajiri kama wewe na udugu
Hii jf mabossledi mpo watatu tu🔥
😂😂😂😂Aifoni lazima inunuliwe😂😂😂
Hamna wewe ni mzuri bana wala hutumii nguvu sister 😍😍😍mdogo wangu usidanganyike na simu
Awwwww
Kwanini hawakupa Miss JF dada, mbona wa moto sana jamani!!
Mi ntaliaaaaaaaaa![]()



ebu niache mdogi wangu na huu uzee naNimeokoka miaka hiiIla Anne wewe ni mkorofi sana😂