Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Wewe dada hufai🔥🔥View attachment 2926975
Umeona babycare na parachute hizo hapo
Hebu tuone toa ule mkono usoni😍🔥🔥Ila Anne![]()
Hebu tuone toa ule mkono usoni
Hunaga baya![]()

picha zangu huna maana zimetembea
Hebu tuone toa ule mkono usoni
Hunaga baya![]()
Kuzeeka wakati mm sijabahatika kufaidi uzuri wako ni dharau hizo. Sijapenda
acha mzee mwenzangu Lee ninaezeeka nayeUmejificha sanaAngalia avatar huyo ndio mimi avatar zangu nyingi huwa najiweka mwenyewe mpenzi
Anne me sijazikipicha zangu huna maana zimetembea
🤣🤣 leo mmeamua kuchota midhambi tu
😂😂😂 nikiwa mkubwa nitaijaribuD we si bado katoto unaendana nazosisi age gooo promax ndio tunazipenda ukiwa shangazi kama mimi utanielewa tu
Moja tu ya mwisho
Yaani hunaga baya dada mzuri![]()

halafu umeokoka wewe