Mention someone without any reason just to disturb them

Una bahatiii
nilikuwa nafuta nishaanza kufuta maneno ndio maana huwezi kuquote halafu ujue huku umenileta wewe ebu nitoke nirudi zangu makapuku kwangu
Kaa kaaa mpaka jioni bana πŸ€£πŸ˜‚ tukihama hapa, tunahamia makapuku
 
Nakazia 🀣🀣🀣
Hapo ni 13 pro/ 14 pro.. sbb naiona fupi haina urefu wa PM

Ma PM mabaya
Ule urefu na uzito
Dada Shunie nimeona kupitia comment ya dee aliyokwoti 😍😍😍😍
Hiyo rangi ya Dubenga kabisaa!!
Hivi kumbe ni chuma hivi?? Nyie Mungu anaumba jamani, ntaliaaaaaaaaaa mimi!!
Sasa nishajua kwann hubabaishwi kumbe unaringia uzuri πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…