Mention someone without any reason just to disturb them

Mention someone without any reason just to disturb them

Ma mpenzi win-one .
Huu ukimya wako humu JF unanifanya nisifanye mambo yangu mengine kwa utulivu.

Neno lako moja tu. La kuwa uko poa. Litanifanya nianze wiki yangu iwe sawia.
Kwahiyo naomba Nijibu neno Ma mtu.

I miss you. I miss you Die win-one
sijakuona siku 3 hivi JF. Na nimekumic sana sana.
haya nimekuja njoo nieleze nini kina kutatiza
 
Back
Top Bottom