Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,193
- 33,577
Yupo mbali sanaKweli? Mfate km umemmiss ukampunguzie ubusy![]()
Yupo mbali sanaKweli? Mfate km umemmiss ukampunguzie ubusy![]()
chagua nikachekee wapii??


Jamani samaki za Mwanza hizo
Ko tunakula samaki na viazi leo
Nacheka had machozi ujue

nioe tu, hii ya njoo ondoka inasumbua sana.Sina ex huku, huku nipo kwa kyuti together foreverNitafutie wewe bana hata ex wako nipe![]()
Mmefika mbali, mpk masufuria mnaungishana?!

anauziwa kinguvu then analeta kwanguatawekwa spooning, ila mie sio wa kumfanyia haya baba wa watu.
Kaanza kupoa km zamani. Anaishia ku like tyuuh.
![]()

aseeeh mbna nisingeachwa kizembe, gari niliachee? Thubutuuu.


chezea Prado wewe!!Kwa tabu sana but vitalika tuVipo jikoni kainjika viazi na samaki za mwanza mwenzangu
Naandaa pilipili na ndimu hapa
, nishakua fundi dada hana tena kazimume wa mtu huyo, huogopiiii?

nioe tu, hii ya njoo ondoka inasumbua sana.


Ngoja nika tafute Wi-Fi ya hotelini😂😁
Nikishapenda huwa nakua sina break, hii misosi hutaki?Huyu mume mtu ananinyapia balaa, had jikoni kaingia kupika kwaajiri yangu
Ananitafutia maneno na dada yako
anauziwa kinguvu then analeta kwangu


ThailandWapi?![]()
Ndio nataka iwe official mke awe anakaa hapa hapa
Kumbe anakuja na kuondoka?
Ndio nachotaka sababu nampenda sanaEeeh!! Huyo atakuwa anahamia kidogo kidogo kashaanza kuleta masufuria, soon ataleta nguo mwisho atahamia mwenyewe kabisa!
Uwe makini naye![]()
Kwa tabu sana but vitalika tu, nishakua fundi dada hana tena kazi


