Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,268
- 87,051
Wengi gani bana, nipo na kyuti tu. Hapa nilipo nishammiss
Sasa hivi yupo busy sana

Na mm naona vibe kama lote. Leo nipo na samaki, wamekuja bila kuparwa nimetumia saa nzima kuwapara
View attachment 2750299




Sema umempenda yupi, nikuunganishie

Na masufuria nilinunua kwa mama ake mdogo na kyuti


nipee screenshots nionee.


Hujuii?![]()

Ndo kwanza nakusikia hapa.![]()

Mbna hatariii sanaa.![]()


500, but according to my conditions and agreement 😂🤣.Unataka ng'ombe wangapi 😅😅
Screenshot ya nini? Kwan we mtoto?
Mumeo kakumiss kipeleke kibama hiko![]()



chagua nikachekee wapii??Sasa na ule unene si balaa dada Farida jamani!!
Akidondokea tumbo lile si hatari



atawekwa spooning, ila mie sio wa kumfanyia haya baba wa watu.





Wewe si ndio ulikuwa unaendea saloon mara hii umesahau?![]()




aseeeh mbna nisingeachwa kizembe, gari niliachee? Thubutuuu.Vipo jikoni kainjika viazi na samaki za mwanza mwenzangu
Naandaa pilipili na ndimu hapa



mume wa mtu huyo, huogopiiii?500, but according to my conditions and agreement 😂🤣.
👉Pesa ita lipwa baada ya ng'ombe kupokelewa🤣😁
Shida una hisi wote tuna tumia fiber ya hapo kwako🤣😂😁
😅😅 kula mawe hayo enzi za Sir Nature ..Shida una hisi wote tuna tumia fiber ya hapo kwako🤣😂😁