Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,276
- 87,079
Bora hata umuambiee,![]()
Huyu anataka kukurudia ila anawaza anarudije??

Ebu mpe nafasi nyingine mmeo nawe mfyuu
Bora hata umuambiee,![]()



Huyu anataka kukurudia ila anawaza anarudije??
Ebu mpe nafasi nyingine mmeo nawe mfyuu



nimechekaa had baas.mke wa mjep nitafutie mume basi nawe



ngojaa toleo jipya lianze kupasua vyombo huko lilipo.Kumbe ana gari, mbna sijawahi kuliona mie.Njoo tukakope tuweke bond gari ya mmeo![]()
Wengi gani bana, nipo na kyuti tu. Hapa nilipo nishammissYupi? Mana anao wengi, alafu me humu mgeni bado sijapata mume nitafutie basi.![]()

Na mm naona vibe kama lote. Leo nipo na samakiVibe la kumaliza mkopo wa kausha damu
Nasubiri huo msosi nijionee![]()

, wamekuja bila kuparwa nimetumia saa nzima kuwapara
Sema umempenda yupi, nikuunganishieNitafutie manzi wa kumkaza basi, nasikia wapo warembo wa kushato![]()
Na masufuria nilinunua kwa mama ake mdogo na kyutiWe kaa tusubiri chakula mme wa kyuti yupo kitchen kufanya mafekeche![]()
Hello Le professel
nimechekaa had baas.
Kakuambia anataka turudianee? Anae wake shatta shatta.
Waache waoanee. Kwa sauti ya Chegge.

ngojaa toleo jipya lianze kupasua vyombo huko lilipo.
Wee haya.




Ndio kaniambia anataka kurudia koloni lake![]()



nipee screenshots nionee.Kumbe ana gari, mbna sijawahi kuliona mie.
Woiiiih hatariiii.
