Mention someone without any reason just to disturb them

Mention someone without any reason just to disturb them

Huko kila kitu hata ukitaka muuaji, kifaru, madawa , mchumba.. porn zisizo za ulimwengu huu.. watu wakichnjwa live.. ila pia hacker wa kukodi.. kuna mazuri na mabaya ni wewe tu.. na utakuwa umepata connection ipi.. maana link za huko zipo kimichongo michongo
Mchumba unampataje dark web?
 
Na ukikosea unahackiwa sio?
Kuhakiwa inategemea ume configure vipi machine yako, na unaitumiaje.. mala nyingi mtu hufungua mlango wa kuhakiwa kama ana ma point mengi ya kuilia.. Na usiingie kule kwa computer yako official.. uwe na computer maalumu ya kuzamia huko.. ambayo haina issue yote ile hata likatokea la kutokea huna cha kupoteza
 
Back
Top Bottom