Hivi wewe ni nani?Tena we nyamaza kabisa
Uko UD ila weekend unakipeleka kibama MU
Hivi si tuliaga twende tukalale mdogo ake Kyuti
Hivi wewe ni nani?Tena we nyamaza kabisa
Uko UD ila weekend unakipeleka kibama MU
Hivi si tuliaga twende tukalale mdogo ake Kyuti
Kuna mtu ndio amesaidia sana kuacha hizi mambo
Ni mwema sana, na wewe uwe hivyo aseeOoh! Bas huyo mtu ni mwema sana
Wala mm sina time kabisa, tatizo kuna mambo unayakuta bila hata kujua imekuaje.
Kuna kipindi nikiingia insta naona story za aggrey kafanya hivi kafanya vile wakawa wanaweka na clip zake. Ni huzuni





Mbna alioa na ana mtoto, si kawaacha huko moshi, yeye kaja kuvegela Dar,Lile tumbo na ule weusi, lilifaa kuwa mume wa mtu kabisa!!
Dah! Mambo haya ni magumu aiseee!!





Mbna alioa na ana mtoto, si kawaacha huko moshi, yeye kaja kuvegela Dar,![]()





Jamani kumbe
Watu wamevurugwa aisee!!
Watu wa mikoani wasumbufu na ndio wenye hekaheka mjini!!
Ko kaona aje kusalamba town![]()




kaamua na aolewe mazimaa.Yaan alivyo chachuka na kushanduka, nehiiii hapana kwa kweliii.Mmeo mpana mwambie atume vocha kwanza![]()





, afu hafananiii sasa.kaamua na aolewe mazimaa.
Uboo una hatariii, weka mbali kabisaa.

( Kwa sauti ya Chidy Benzy)