Mention someone without any reason just to disturb them

Mention someone without any reason just to disturb them

Yaan alivyo chachuka na kushanduka, nehiiii hapana kwa kweliii.
Kikundi nchonchobo kisha muharibu baba wa watu. Had hurumaa yaan.
, afu hafananiii sasa.

Muambie wee alokuuliza, akitaka kukujua akupe vocha kwan.

Kochoz crew ndo wamemuharibu?
Unamsingizia sio kweli
 
Nitaenda km bi mkubwa,
Km Ex sitakiii, nataka status ya bi mkubwa.

Jamani hii imeenda
Bi mkubwa km bi mkubwa
Unaingia na benbat la nani?
Km nawaona machura wanavyokufagilia njia mama la mama!!
Mama mwenye mume wake halali!
 
Jamani hii imeenda
Bi mkubwa km bi mkubwa
Unaingia na benbat la nani?
Km nawaona machura wanavyokufagilia njia mama la mama!!
Mama mwenye mume wake halali!
halali bila ndoa? Ila uchungu jamani!!
Sa itakuajee??
 
halali bila ndoa? Ila uchungu jamani!!
Sa itakuajee??

Inauma kumbe? Mi nilijua we sugu
Mume anauma sana, alafu akuache ghafla kwa kuporwa

Kunywa maji mengi!!
Ila ukewenza unao na umekufikia!
Hukuona dada ako alivyokua anapambana kuilinda status ya kuwa peke yake kwa mkantriweldi
 
Tatizo sio kuporwa, unaporwa na naniii?
Toleo jipyaa kweliiii??

Nasemajeee nime surrender. Nacheka km mwehu hapa.
 
Tatizo sio kuporwa, unaporwa na naniii?
Toleo jipyaa kweliiii??

Nasemajeee nime surrender. Nacheka km mwehu hapa.

Toleo jipya ni shida
Ila imekuuma sana!!
Pole jikaze ndo maisha.

Ko jimbo liko wazi??
Njoo tupambane na mikopo ya kausha damu, mapenzi waachie kina Zamaradi na Shabani Madobe!!
 
Toleo jipya ni shida
Ila imekuuma sana!!
Pole jikaze ndo maisha.

Ko jimbo liko wazi??
Njoo tupambane na mikopo ya kausha damu, mapenzi waachie kina Zamaradi na Shabani Madobe!!
nimecheka km chizii wallah.
 
Back
Top Bottom