Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,193
- 33,577
Hayupo, ana ban alafu yupo mbali sanaLini nimejiita kungwi kaka?
Niitie mkeo anifunde, nasikia Anaya wenza kweli
Hayupo, ana ban alafu yupo mbali sanaLini nimejiita kungwi kaka?
Niitie mkeo anifunde, nasikia Anaya wenza kweli
sio kweliunajua nilishangaa imekuwaje hawa wana hizi tabia, dooh kumbe ndio basi tena
Huyu nae itakua kabakiza kipande kidogo sana kuaga rasmi mashindano
James Delicious kashaishiwa, hana mpyaa mjini.
Ila Aggrey ananiuzi lile tumbo, si akakate utumbo km wema, khaaaah.
Le sijapiga picha na nilishakulaLete mapishi nione![]()
Nakusahaulisha alafu nakuweka kati utajaa tuu

Sema mbishi yule, Ila nitajua tu namna ya kumfatilia kwa karibu akiwa huko


Hayupo, ana ban alafu yupo mbali sana

Sio kweli nn?sio kweli
Mbinu pia zinabadilikaSio sasa, mambo yamebadirika![]()

YesUtamfunga GPRS![]()
Kulewa niliacha aseePole ndiomana unalewa hovyo km Sele![]()
Wala nimetengeneza kitu ya ukweli tuMuongo
Au viliungua??
Mbinu pia zinabadilika![]()


Hata uje na mbinu gani huniingizi king kiboya boya ss hivi![]()

ngoja nijiandaeKuna mtu ndio amesaidia sana kuacha hizi mamboHongera![]()