Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,676
- 20,697
- Thread starter
- #21
Hicho ndiyo kikubwa. Ukiongezea na ile mentality ya mzunguko wa pesa ubaki kwa jamii.Ni kweli unakuta biashara iko kwenye mikono ya familia tokea vizazi vitatu nyuma
Hicho ndiyo kikubwa. Ukiongezea na ile mentality ya mzunguko wa pesa ubaki kwa jamii.Ni kweli unakuta biashara iko kwenye mikono ya familia tokea vizazi vitatu nyuma
We ndiyo umekuja kuthibitisha kabisa kwamba wabongo wengi tuna shida ya kuelewa maandishi.Kwahiyo serikali ijitoe kuwa support wachagga kufungua maduka??
Zamani ningefikiri uko zako kwenye bodaboda chini mti unajipostia baada ya kumaliza certificate ya hotel management na kukosa kazi,
Lakini kwa niliyoyashuhudia kwa macho yangu sijahadithiwa na mtu, wewe uliyetoa hii suggestion unaweza kuta una Masters ya Business kabisa tena kutoka Marekani na umeajiriwa wizara ya fedha.
I'm telling you!
I'll be honest hata sentensi ya kwanza sikuisoma coz I was already repulsed by the heading.We ndiyo umekuja kuthibitisha kabisa kwamba wabongo wengi tuna shida ya kuelewa maandishi.
Hii habari iliandikwa mwaka 1953 kabla ya uhuru. Wachagga wenyewe walikuwa wanafanya mipango yao ya kujiendeleza. Wakaona kuna kitu wanatakiwa kufanya upande wa biashara. Na wanavyosema serikali hawakumaanisha ya kikoloni au ya Tanganyika, walimaanisha ya Kilimanjaro. Na ndiyo maana utaona wanaita nchi ya Kilimanjaro.
It just occurred to me, hiyo sentensi ya kwanza hata haikuwepo. Ume edit. Uongo?We ndiyo umekuja kuthibitisha kabisa kwamba wabongo wengi tuna shida ya kuelewa maandishi.
Hii habari iliandikwa mwaka 1953 kabla ya uhuru. Wachagga wenyewe walikuwa wanafanya mipango yao ya kujiendeleza. Wakaona kuna kitu wanatakiwa kufanya upande wa biashara. Na wanavyosema serikali hawakumaanisha ya kikoloni au ya Tanganyika, walimaanisha ya Kilimanjaro. Na ndiyo maana utaona wanaita nchi ya Kilimanjaro.
😹😹😹nimesoma nikafikiri ni Double Kick niliyochanganya na energy asubuh hii imenifanya nisielewe. kumbe Tupo wengi
Nilipigwa ban ule uzi😹😹😹 Min anakimbia muoga hajiamini tatizo..!!
Min me kweli we active member of all time