Mens' Talk: Indecent Proposal...

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Salaam wakuu,

Kwema? habari wakuu, prior to the thread title above, miaka ya zamani kidogo nilibahatika kuangalia muvi ya Demi Moore inayoitwa Indecent proposal.

Jana tena, vile nikaidownload kwa pc nakuingalia tena.

Hebu imagine kaka yangu, you have a beautiful wife na mnaishi maisha poa tu but suddenly upepo unachange maisha yanaenda mrama financially. unajikuta kwenye large debts and you can hardly afford the three meals per day.

Anatokea Don mmoja, anawaalika wewe na mke wako (remember she is a lawfully wedded wife not a g/f) kwenye dinner night na infront of ur wife, the man says he's ready to offer you couple a lump sum of Tshs.400M kutembea na mke wako for a singe night. je, bro ungeamuaje? ukichek kweli kwenye maswala yamipunga ndo vile mbwa kala mbwa na ukichek hata kama ungekua mambo yako ni safi it couldtake time for you to generate 400M.

so, the big question is what would you decide? remember, we talking bout wife, no girlfriend. daah, kwangu mimi wakuu ingekua ni dilemma maana japo mpunga nauhitaji, lakini to live with the fact that mke wangu alibanduliwa na mngese ilimradi tu tutengeneze mpunga ingenitesa sana. so my question to you brother, what would you do? honestly speaking!
 
Why is it that the premise of your question presumes that the wife has no say so, whatsoever?

That, it is up to you to give the go ahead or not. Something is wrong with that mindset.
 
Why is it that the premise of your question presumes that the wife has no say so, whatsoever?

That, it is up to you to give the go ahead or not. Something is wrong with that mindset.
ofcourse, the wife has the rightto say. thedecision lies between the two of you. your wife is a type of wife who,would listen to anything you say. in other words, she trusts your judgement and how you handle matters!
 
That was truely indecent and any one who takes it cannot do away with its aftermath!

Even if the wife has no powers to make her own decisions, she is in no way a toy!
 
Why is it that the premise of your question presumes that the wife has no say so, whatsoever?

That, it is up to you to give the go ahead or not. Something is wrong with that mindset.

whether the wife has a say or not, 400m is so sweet a deal to ignore!
 
Ha!......mara moja tu kwani ni nini......hebu chukueni hela huko........hakuna mtu anang'olewa kiungo chake.......
 
ofcourse, the wife has the rightto say. thedecision lies between the two of you. your wife is a type of wife who,would listen to anything you say. in other words, she trusts your judgement and how you handle matters!

That would be a stupid wife!
 

Ni kwanini unadhani hili ni suala la kuamuliwa na mwanaume peke yake?

Ukikubali halafu mwanamke akakataa itakuwaje?

Ukikataa mwanamke akakubali?
 
Ni kutoku-imagine kuwa na mke mzuri, halafu mambo yakakuendea kombo na jamaa kukuhonga 400M ili atembee nae mara moja tuu.

Life is much better if you accept the reality and deal with it than living in your imagination.
 
Oooopppss!!!Mens talk only

Nimekosea njia
 
Whether wife or whoever is involved my response on this for a perfect,energetic,responsible,strong,pure and typical man like me,the answer will be a 'BIG NO'.
 
Ukikubali watu wamtafune waifu kuna siku jamaa atapanda dau atakutaka wewe
 
Mnaokataa,kwa hyo tubaki na umaskini wetu tu???tunaenda kwa mwanasheria na mkataba kabisaa,chezeya umasikini wewe..ntaomba Mungu anisamehe afterwards
 
Mnaokataa,kwa hyo tubaki na umaskini wetu tu???tunaenda kwa mwanasheria na mkataba kabisaa,chezeya umasikini wewe..ntaomba Mungu anisamehe afterwards
haha, typical wife
 
Ni kwanini unadhani hili ni suala la kuamuliwa na mwanaume peke yake?

Ukikubali halafu mwanamke akakataa itakuwaje?

Ukikataa mwanamke akakubali?
kaka its an imaginary situation ila katika ile muvi they sat down n discussed it. guess what?
 
ofcourse, the wife has the rightto say. thedecision lies between the two of you. your wife is a type of wife who,would listen to anything you say. in other words, she trusts your judgement and how you handle matters!

you may read John Ruganda's play Black Mamba.
living with such a passive wife is more dangerous than being with an aggressive one.
 
Whether wife or whoever is involved my response on this for a perfect,energetic,responsible,strong,pure and typical man like me,the answer will be a 'BIG NO'.
seriously holmes? no second thoughts?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…