Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,508
- 911,249
- Thread starter
- #21
early 30's.
Fit for human consumption!
early 30's.
aaaah wapi siku hizi ngoma droo huruma ya nini rafiki? ye akienda kwa binti kigori we unaelekea kwa kijana shabab!
hutaki kuonewa huruma shost?
hiyo tafiti kama kuna ka uongo kamepita kidogo (kijana wa kiume na bibi mzungu ndo kunaamsha popo barabara,na binti kigori na babu mzungu ndo anamrudisha 18! hakuna kulala,sasa apo how ndugu mleta mada?
Anza kujionea wewe mwenyewe huruma.... Uzuri huo nani akuache.???Ndio mtuonee huruma eeh!
Tnauguza majeruhi wa milipuko ya mabomu yaliotokea jumamosi hapa Arusha!Taarifa za kitaalamu zinadai wanaumme tunapochukua dogodogo na kuachana na wale wa saizi yetu tunawasababishia kukataa tamaa ya kuzaa na hivyo kujikita kilaini kwenye MENOPAUSE.
Yabidi tuwe na huruma na wale wa rika letu na tuache kuwanyanyapaa na kuwaachia maumivu makali.
'Cradle snatchers' cause menopause, says biologist
![]()
Michael Douglas and Catherine Zeta Jones. Prof Rama Singh argues that the male preference for young mates has led to the menopause. Photograph: Jim Spellman/WireImage
Nakusubiri urudi, uje useme neno!Ntarudi natoka kidogo.
Kumbe ndio maana nshapatwa na menopause?
Hivi nikitafuta ka under 20 menopaise itayeyuka?
Kama unafikia hata robo ya hiyo avatar yako sioni kama kuna wakukukwaza.....utakula kwa ulaini tu!
Fit for human consumption!
Mimi nadhani nipo Tofauti kidogo napenda sana wanawake watu wazima wenzangu, nikiwa kibinti kidogo huwa nahisi kama kuna Undue influence
Ndio mtuonee huruma eeh!
Utamu umekuja utamu umekata,EMBU MALIZIA MWENYEWE BHANAA...uzuri gani na mimi nitafuta wa juu ya umri wangu,kama sio wa chini kabisa ya umri nimpe maraha! Naona Kongosho hajazungumzia hili.!
Hahaaa Rutashubanyuma umenichekesha sana.
Dah ulivyoomba hiyo huruma mpaka nimeisikilizia ku-moyo ........................!
Kuwahi menopause ni poa tu. Akili huwa inahamia kwenye maeneo mengine yenye tija zaidi kiuchumi
Utamu umekuja utamu umekata,EMBU MALIZIA MWENYEWE BHANAA...uzuri gani na mimi nitafuta wa juu ya umri wangu,kama sio wa chini kabisa ya umri nimpe maraha! Naona Kongosho hajazungumzia hili.!
Ruta; ndiyo huwa unatongoza hivyo kumbe!
Hahaaa Rutashubanyuma umenichekesha sana.
Ukweli lazima tuulonga, lol!