Menina aolewa na kigogo kwa siri

Huyu jamaa anaitwa Peter sijawahi kujua kama ni mtoto wa Sospeter Muhongo,tulipotezana long time sana,ni mcheshi mtu wa kujichanganya sana hana majivuno ila sijui kama ule udhaifu wake kwa totoz ulikoma.Nahisi ni mtu wa usalama huyu jamaa siyo bure.
 
Saiv ni ndoa yake ya pili ya kwanza ilikua na huyo guy mkristo aliebadili dini akawa muislam baada ya kashfa ya kutembea na baba mkwe wakaachana...saiv kaolewa na shombe
 
So huyu ndo menina... Sasa hiii ndoa bado IPO!?? Na huko insta kimetokea nini !!!??
 
Back
Top Bottom