Nilichojifunza awamu hii mnajipendekeza sana wazee wa njaa. Kutetea hata visivyowezekana na kwakuwa ni verified id unauhakika wa kupewa kaupendeleo labda ka cheo. Lakini nikwambie tu ndugu wala hatupepesi macho, hakuna cha mashabiki wala nini anaeteka watu ni TISS na Police. Ndio maana pale Mara kwa Zakaria waliwahiwa aibu ikawakuta na hata matukio ya Lissu, Ben Saa8, Kanguye, Azory na hata madiwani kama yule wa Hananasif na Kule Moro kwa kutaja machache tu. Hata wewe unaujua ukweli huu ila kwa kuwa unatafuta upendeleo maana awamu hii hiyo ndio njia ya kupitia lazima ulambe hata uchafu ili mfalme au mwanae DAB akuvett. Maana wenzako wote waliopita humo wamefanikiwa si unamwona Msemaji wa Yanga mstaafu??? Ongeza bidii Doto utapenya kwanza Mavyeo ya kuteuliwa yapo meeeeengi sana (kwa sauti ya Mteuaji)😆😆😆Soma kisha jenga hoja, kama huwezi kusoma na kuelewa pia jitanibu na kujibu hoja.
Mbona wanaCCM wanawatukana sana tu wapinzani na bado hawatekwi!Huenda zimeponza, na huenda wafuasi wa watu aliowatukana wameshindwa kumvumilia, na ndipo nikasema tukosoane kwa lugha ya hishima hata kama ikiwa kali.
Na kama mateso hayo ndiyo malipo ya mtu kutumia lugha chafu,kuna maswali muhimu ya kujiuliza kwamba je,hiyo katiba unayoinukuu ndiyo inaelekeza kuwashughulikia wavunja sheria kwa style hiyo!!?Dhahiri katiba yatupa haki ya kukosoa, kuhoji na hata kupinga mawazo ya kiongozi yeyote ila haitupi uhuru wa kumtukana, kumkashifu na kutumia lugha ambayo ni dhahiri ya kuudhi.
Tunapopinga vitendo vya utekaji, pia tupinge vitendo vya kutumia lugha za kuudhi dhidi ya wenzetu. Maana kukosoana kwa namna ya kutukana si utanzania na kinyume cha utu.
Tujue mtu kama Rais au kiongozi wa Chama kikubwa kama CHADEMA ana wafuasi wengi, unapomtukana ni dhahiri yeye anaweza kuona hayo ni gharama tu ya wadhifa wake, na asifanye lolote zaidi ya kusamehe, walakini kwa wafuasi wake huweza kuwa habari nyingine kabisa. Mfuasi anaweza kukosa uvumilivu kwa kiongozi wake kuchafuliwa.
Kumtukana Rais ni sawa na kuwatukana watu waliomchagua, na kumtukana Mbowe ni sawa na kuwatukana wanaCHADEMA wote. Wengi wanaweza kuvumilia matusi lakini si wote, pia mara nyingi watu wanaweza kuyapuuza matusi lakini si mara zote, na kwa msingi huo, pengine hii tekateka huu ndio usuli wake.
Mfuasi akishindwa kuvumilia matusi anayorushiwa kiongozi wake, anaweza kuchukua hatua ambayo haitazamiwi au si ya kutarajiwa. Matukio kama ya yaliyomkuta Mdude huko Vwawa na Tesha huko Igunga huenda yamesababishwa pia na ndimi zao chafu dhidi ya watu wenye wafuasi wengi; pengine wafuasi wa watu ambao mara kadhaa hawasalimiki na ndimi zao wamehusika katika yote haya. .
Kama kuna jambo baya ni kurukia kulishuku jeshi la Polisi juu ya yote haya. Sisemi Polis kama taasisi ya umma haifanyi makosa, walakini pia tusilipakaze matope jeshi letu kwa uovu ambao ni dhahiri jeshi hilo ni vigumu kuufanya hasa kwa kipindi kama hichi.
Hivi kwa aina ya uongozi wa Rais Magufuli na shutuma inazotupiwa juu ya haki za kibinadamu, hivi kweli Polis au TISS watafanya ushenzi ule kwa Mdude? Ili iweje? Ili utawala wa awamu ya tano uzidi kuoga na matope na kupoteza uungwaji mkono kutoka jumuia za kimataifa? .
Ulishawahi jiuliza? Kwanini utekaji akifanyiwa mpinzani shutuma hutupiwa TISS na Polis lakini akifanyiwa mwanaCCM hawahusishwi Polis au TISS?
Yote haya huenda wafuasi wa pande mbili wanatiana ADABU. Greenguard na Redbrigadia zitupiwe jicho.
Na
@jini_kinyongaView attachment 1093270
Kwahiyo Kuna mwanaccm aliyetekwa kwa kukosoa?Dhahiri katiba yatupa haki ya kukosoa, kuhoji na hata kupinga mawazo ya kiongozi yeyote ila haitupi uhuru wa kumtukana, kumkashifu na kutumia lugha ambayo ni dhahiri ya kuudhi.
Tunapopinga vitendo vya utekaji, pia tupinge vitendo vya kutumia lugha za kuudhi dhidi ya wenzetu. Maana kukosoana kwa namna ya kutukana si utanzania na kinyume cha utu.
Tujue mtu kama Rais au kiongozi wa Chama kikubwa kama CHADEMA ana wafuasi wengi, unapomtukana ni dhahiri yeye anaweza kuona hayo ni gharama tu ya wadhifa wake, na asifanye lolote zaidi ya kusamehe, walakini kwa wafuasi wake huweza kuwa habari nyingine kabisa. Mfuasi anaweza kukosa uvumilivu kwa kiongozi wake kuchafuliwa.
Kumtukana Rais ni sawa na kuwatukana watu waliomchagua, na kumtukana Mbowe ni sawa na kuwatukana wanaCHADEMA wote. Wengi wanaweza kuvumilia matusi lakini si wote, pia mara nyingi watu wanaweza kuyapuuza matusi lakini si mara zote, na kwa msingi huo, pengine hii tekateka huu ndio usuli wake.
Mfuasi akishindwa kuvumilia matusi anayorushiwa kiongozi wake, anaweza kuchukua hatua ambayo haitazamiwi au si ya kutarajiwa. Matukio kama ya yaliyomkuta Mdude huko Vwawa na Tesha huko Igunga huenda yamesababishwa pia na ndimi zao chafu dhidi ya watu wenye wafuasi wengi; pengine wafuasi wa watu ambao mara kadhaa hawasalimiki na ndimi zao wamehusika katika yote haya. .
Kama kuna jambo baya ni kurukia kulishuku jeshi la Polisi juu ya yote haya. Sisemi Polis kama taasisi ya umma haifanyi makosa, walakini pia tusilipakaze matope jeshi letu kwa uovu ambao ni dhahiri jeshi hilo ni vigumu kuufanya hasa kwa kipindi kama hichi.
Hivi kwa aina ya uongozi wa Rais Magufuli na shutuma inazotupiwa juu ya haki za kibinadamu, hivi kweli Polis au TISS watafanya ushenzi ule kwa Mdude? Ili iweje? Ili utawala wa awamu ya tano uzidi kuoga na matope na kupoteza uungwaji mkono kutoka jumuia za kimataifa? .
Ulishawahi jiuliza? Kwanini utekaji akifanyiwa mpinzani shutuma hutupiwa TISS na Polis lakini akifanyiwa mwanaCCM hawahusishwi Polis au TISS?
Yote haya huenda wafuasi wa pande mbili wanatiana ADABU. Greenguard na Redbrigadia zitupiwe jicho.
Na
@jini_kinyongaView attachment 1093270
Ngoja siku utekwe wewe ndio utawajua watesi wako kwa majina.Dhahiri katiba yatupa haki ya kukosoa, kuhoji na hata kupinga mawazo ya kiongozi yeyote ila haitupi uhuru wa kumtukana, kumkashifu na kutumia lugha ambayo ni dhahiri ya kuudhi.
Tunapopinga vitendo vya utekaji, pia tupinge vitendo vya kutumia lugha za kuudhi dhidi ya wenzetu. Maana kukosoana kwa namna ya kutukana si utanzania na kinyume cha utu.
Tujue mtu kama Rais au kiongozi wa Chama kikubwa kama CHADEMA ana wafuasi wengi, unapomtukana ni dhahiri yeye anaweza kuona hayo ni gharama tu ya wadhifa wake, na asifanye lolote zaidi ya kusamehe, walakini kwa wafuasi wake huweza kuwa habari nyingine kabisa. Mfuasi anaweza kukosa uvumilivu kwa kiongozi wake kuchafuliwa.
Kumtukana Rais ni sawa na kuwatukana watu waliomchagua, na kumtukana Mbowe ni sawa na kuwatukana wanaCHADEMA wote. Wengi wanaweza kuvumilia matusi lakini si wote, pia mara nyingi watu wanaweza kuyapuuza matusi lakini si mara zote, na kwa msingi huo, pengine hii tekateka huu ndio usuli wake.
Mfuasi akishindwa kuvumilia matusi anayorushiwa kiongozi wake, anaweza kuchukua hatua ambayo haitazamiwi au si ya kutarajiwa. Matukio kama ya yaliyomkuta Mdude huko Vwawa na Tesha huko Igunga huenda yamesababishwa pia na ndimi zao chafu dhidi ya watu wenye wafuasi wengi; pengine wafuasi wa watu ambao mara kadhaa hawasalimiki na ndimi zao wamehusika katika yote haya. .
Kama kuna jambo baya ni kurukia kulishuku jeshi la Polisi juu ya yote haya. Sisemi Polis kama taasisi ya umma haifanyi makosa, walakini pia tusilipakaze matope jeshi letu kwa uovu ambao ni dhahiri jeshi hilo ni vigumu kuufanya hasa kwa kipindi kama hichi.
Hivi kwa aina ya uongozi wa Rais Magufuli na shutuma inazotupiwa juu ya haki za kibinadamu, hivi kweli Polis au TISS watafanya ushenzi ule kwa Mdude? Ili iweje? Ili utawala wa awamu ya tano uzidi kuoga na matope na kupoteza uungwaji mkono kutoka jumuia za kimataifa? .
Ulishawahi jiuliza? Kwanini utekaji akifanyiwa mpinzani shutuma hutupiwa TISS na Polis lakini akifanyiwa mwanaCCM hawahusishwi Polis au TISS?
Yote haya huenda wafuasi wa pande mbili wanatiana ADABU. Greenguard na Redbrigadia zitupiwe jicho.
Na
@jini_kinyongaView attachment 1093270
Wanaweza iwapo wana baraka na msaada wa vyama vyaoDotto C. Rangimoto,
..unafikiri green-guard au red-brigade wana uwezo wa kuondoa walinzi wa area D wanapoishi viongozi wa serekali na kumshambulia Mh.Lissu na wasijulikane mpaka leo?
Kwahiyo kumbe sasa ni sheria mkononi? Mnazidi kujiacha uchi.Mkuu unajichanganya sana hadi hueleweki.
Unaleta siasa kwenye maisha ya binadam mwenzio?
Wewe mwenyewe umeanza kwa kuonyesha kwamba kauli za mdude ndio zilizomponza halafu mwishoni tena unasema kwa nini akitekwa mpinzani shutuma huenda TISS na polisi?
MO DEWJ alimtukana nani hadi wakamteka!Dhahiri katiba yatupa haki ya kukosoa, kuhoji na hata kupinga mawazo ya kiongozi yeyote ila haitupi uhuru wa kumtukana, kumkashifu na kutumia lugha ambayo ni dhahiri ya kuudhi.
Tunapopinga vitendo vya utekaji, pia tupinge vitendo vya kutumia lugha za kuudhi dhidi ya wenzetu. Maana kukosoana kwa namna ya kutukana si utanzania na kinyume cha utu.
Tujue mtu kama Rais au kiongozi wa Chama kikubwa kama CHADEMA ana wafuasi wengi, unapomtukana ni dhahiri yeye anaweza kuona hayo ni gharama tu ya wadhifa wake, na asifanye lolote zaidi ya kusamehe, walakini kwa wafuasi wake huweza kuwa habari nyingine kabisa. Mfuasi anaweza kukosa uvumilivu kwa kiongozi wake kuchafuliwa.
Kumtukana Rais ni sawa na kuwatukana watu waliomchagua, na kumtukana Mbowe ni sawa na kuwatukana wanaCHADEMA wote. Wengi wanaweza kuvumilia matusi lakini si wote, pia mara nyingi watu wanaweza kuyapuuza matusi lakini si mara zote, na kwa msingi huo, pengine hii tekateka huu ndio usuli wake.
Mfuasi akishindwa kuvumilia matusi anayorushiwa kiongozi wake, anaweza kuchukua hatua ambayo haitazamiwi au si ya kutarajiwa. Matukio kama ya yaliyomkuta Mdude huko Vwawa na Tesha huko Igunga huenda yamesababishwa pia na ndimi zao chafu dhidi ya watu wenye wafuasi wengi; pengine wafuasi wa watu ambao mara kadhaa hawasalimiki na ndimi zao wamehusika katika yote haya. .
Kama kuna jambo baya ni kurukia kulishuku jeshi la Polisi juu ya yote haya. Sisemi Polis kama taasisi ya umma haifanyi makosa, walakini pia tusilipakaze matope jeshi letu kwa uovu ambao ni dhahiri jeshi hilo ni vigumu kuufanya hasa kwa kipindi kama hichi.
Hivi kwa aina ya uongozi wa Rais Magufuli na shutuma inazotupiwa juu ya haki za kibinadamu, hivi kweli Polis au TISS watafanya ushenzi ule kwa Mdude? Ili iweje? Ili utawala wa awamu ya tano uzidi kuoga na matope na kupoteza uungwaji mkono kutoka jumuia za kimataifa? .
Ulishawahi jiuliza? Kwanini utekaji akifanyiwa mpinzani shutuma hutupiwa TISS na Polis lakini akifanyiwa mwanaCCM hawahusishwi Polis au TISS?
Yote haya huenda wafuasi wa pande mbili wanatiana ADABU. Greenguard na Redbrigadia zitupiwe jicho.
Na
@jini_kinyongaView attachment 1093270
MO DEWJ aliandika Nini hadi kutekwa! sikieni praise team mtawala dhalimu hajali Lugha gani unatumia kumkosoa!! anachojali unagusaje maslahi yake!Kosa la huyo Mdude ni kushindwa kuelewa kuwa yule Rais mmoja anayemuona ni kiongozi wa taasisi ya urais.
Kamkejeli na kumdhihaki rais wa nchi kama vile anayemuongelea ni rais wa wasafi au yule Manzese.
Huwa napenda kujiuliza tu, unaweza kumkejeli Kagame ukiwa Rwanda halafu ukaendelea kuliona jua linatoka mashariki asubuhi?.
Unaweza kweli kumkejeli Museveni halafu utoke salama Uganda?. La kujifunza ni kupima unaandika nini mitandaoni.
Dawa nikumteka nakutaka kumuua?Mkuu JokaKuu, hakuna namna ya kuweza kutetea uovu wa waliomteka mdude na wale waliotaka kumuua lisu. Lakini unafikiri ni busara kumuita rais mstaafu msukule na rais aliye madarakani jini?!
Huyu mdude anasema ni ofisa wa chadema kanda, pengine ni njia ya kuwaonyesha wakubwa wake kuwa anafaa katika nafasi anayoitumikia!
Si dawa yake lakini haimaanishi kuwa watu wenye kujichukulia sheria mkononi hawapo na kwa msingi huo kwanini tusiwaepuke hao watu kwa kuacha kutukana badala yake tujadili masuala?? mfano suala la gharama kubwa katika msafara wa Rais hivi hatuwezi kweli kulijadili pasina kutumia neno Jini, mzukule, mwizi, na mengine mfano ya hayo???
"Msafara wa Rais Mkubwa na mzigo kwa wananchi, kuna mambo muhimu yanahitaji fedha...." Waweza kusema hivi na ukaeleweka kabisa,,yanini utukane na kuwaudhi wafuasi wa mtu kisha uwape nafasi wakushughulikie???
Rejea hoja yangu ya msingi, nimesema upo uwezekano huo na ndio maana nikasema jeshi la polis wachunguze hivi vikosi vya vyama kama vile green guard na red brigade, huenda kwa namna moja au nyingine wakawa wanahusika.Mkuu vipi!! mbona naona kama una uhakika kwamba wanaofanya haya mambo ni wafuasi wa hao wanaotukanwa au kunenewa wasioyataka?
Lina ukweli japo litapingwa sana ila watu kama Meya Jacob nimeona busara zao. Uhuru wa mawazo ni mzuri na kupingana ni kupanuana mawazo ili anaongoza aone kuwa kuna fursa zaidi ya anavyodhani.Dhahiri katiba yatupa haki ya kukosoa, kuhoji na hata kupinga mawazo ya kiongozi yeyote ila haitupi uhuru wa kumtukana, kumkashifu na kutumia lugha ambayo ni dhahiri ya kuudhi.
Tunapopinga vitendo vya utekaji, pia tupinge vitendo vya kutumia lugha za kuudhi dhidi ya wenzetu. Maana kukosoana kwa namna ya kutukana si utanzania na kinyume cha utu.
Tujue mtu kama Rais au kiongozi wa Chama kikubwa kama CHADEMA ana wafuasi wengi, unapomtukana ni dhahiri yeye anaweza kuona hayo ni gharama tu ya wadhifa wake, na asifanye lolote zaidi ya kusamehe, walakini kwa wafuasi wake huweza kuwa habari nyingine kabisa. Mfuasi anaweza kukosa uvumilivu kwa kiongozi wake kuchafuliwa.
Kumtukana Rais ni sawa na kuwatukana watu waliomchagua, na kumtukana Mbowe ni sawa na kuwatukana wanaCHADEMA wote. Wengi wanaweza kuvumilia matusi lakini si wote, pia mara nyingi watu wanaweza kuyapuuza matusi lakini si mara zote, na kwa msingi huo, pengine hii tekateka huu ndio usuli wake.
Mfuasi akishindwa kuvumilia matusi anayorushiwa kiongozi wake, anaweza kuchukua hatua ambayo haitazamiwi au si ya kutarajiwa. Matukio kama ya yaliyomkuta Mdude huko Vwawa na Tesha huko Igunga huenda yamesababishwa pia na ndimi zao chafu dhidi ya watu wenye wafuasi wengi; pengine wafuasi wa watu ambao mara kadhaa hawasalimiki na ndimi zao wamehusika katika yote haya. .
Kama kuna jambo baya ni kurukia kulishuku jeshi la Polisi juu ya yote haya. Sisemi Polis kama taasisi ya umma haifanyi makosa, walakini pia tusilipakaze matope jeshi letu kwa uovu ambao ni dhahiri jeshi hilo ni vigumu kuufanya hasa kwa kipindi kama hichi.
Hivi kwa aina ya uongozi wa Rais Magufuli na shutuma inazotupiwa juu ya haki za kibinadamu, hivi kweli Polis au TISS watafanya ushenzi ule kwa Mdude? Ili iweje? Ili utawala wa awamu ya tano uzidi kuoga na matope na kupoteza uungwaji mkono kutoka jumuia za kimataifa? .
Ulishawahi jiuliza? Kwanini utekaji akifanyiwa mpinzani shutuma hutupiwa TISS na Polis lakini akifanyiwa mwanaCCM hawahusishwi Polis au TISS?
Yote haya huenda wafuasi wa pande mbili wanatiana ADABU. Greenguard na Redbrigadia zitupiwe jicho.
Na
@jini_kinyongaView attachment 1093270
Wee hovyo kabisa nini tusi na nini kukosoa ni kiwango tu cha akili za mtu. Kiongozi mkuu akitukana au akitumia lugha za kuudhi asijibiwe asikosolewe wala asirudishiwe tusi. Ni maajabu ya mawazo ya kikanda. Watu tulishavuka huko. Tusi kwa tusi na hoja kwa hoja. Tunakoelekea ni jino kwa jino.Dhahiri katiba yatupa haki ya kukosoa, kuhoji na hata kupinga mawazo ya kiongozi yeyote ila haitupi uhuru wa kumtukana, kumkashifu na kutumia lugha ambayo ni dhahiri ya kuudhi.
Tunapopinga vitendo vya utekaji, pia tupinge vitendo vya kutumia lugha za kuudhi dhidi ya wenzetu. Maana kukosoana kwa namna ya kutukana si utanzania na kinyume cha utu.
Tujue mtu kama Rais au kiongozi wa Chama kikubwa kama CHADEMA ana wafuasi wengi, unapomtukana ni dhahiri yeye anaweza kuona hayo ni gharama tu ya wadhifa wake, na asifanye lolote zaidi ya kusamehe, walakini kwa wafuasi wake huweza kuwa habari nyingine kabisa. Mfuasi anaweza kukosa uvumilivu kwa kiongozi wake kuchafuliwa.
Kumtukana Rais ni sawa na kuwatukana watu waliomchagua, na kumtukana Mbowe ni sawa na kuwatukana wanaCHADEMA wote. Wengi wanaweza kuvumilia matusi lakini si wote, pia mara nyingi watu wanaweza kuyapuuza matusi lakini si mara zote, na kwa msingi huo, pengine hii tekateka huu ndio usuli wake.
Mfuasi akishindwa kuvumilia matusi anayorushiwa kiongozi wake, anaweza kuchukua hatua ambayo haitazamiwi au si ya kutarajiwa. Matukio kama ya yaliyomkuta Mdude huko Vwawa na Tesha huko Igunga huenda yamesababishwa pia na ndimi zao chafu dhidi ya watu wenye wafuasi wengi; pengine wafuasi wa watu ambao mara kadhaa hawasalimiki na ndimi zao wamehusika katika yote haya. .
Kama kuna jambo baya ni kurukia kulishuku jeshi la Polisi juu ya yote haya. Sisemi Polis kama taasisi ya umma haifanyi makosa, walakini pia tusilipakaze matope jeshi letu kwa uovu ambao ni dhahiri jeshi hilo ni vigumu kuufanya hasa kwa kipindi kama hichi.
Hivi kwa aina ya uongozi wa Rais Magufuli na shutuma inazotupiwa juu ya haki za kibinadamu, hivi kweli Polis au TISS watafanya ushenzi ule kwa Mdude? Ili iweje? Ili utawala wa awamu ya tano uzidi kuoga na matope na kupoteza uungwaji mkono kutoka jumuia za kimataifa? .
Ulishawahi jiuliza? Kwanini utekaji akifanyiwa mpinzani shutuma hutupiwa TISS na Polis lakini akifanyiwa mwanaCCM hawahusishwi Polis au TISS?
Yote haya huenda wafuasi wa pande mbili wanatiana ADABU. Greenguard na Redbrigadia zitupiwe jicho.
Na
@jini_kinyongaView attachment 1093270
Polisi ni watuhumiwa namba moja kwa sababu hizi:Dhahiri katiba yatupa haki ya kukosoa, kuhoji na hata kupinga mawazo ya kiongozi yeyote ila haitupi uhuru wa kumtukana, kumkashifu na kutumia lugha ambayo ni dhahiri ya kuudhi.